Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,027
- 33,003
Mabingwa wa soka nchini Tanzania, Young Africans wanashika nafasi ya 165 kwa ubora kati ya timu 500 ulimwenguni.
Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS), ‘Timu ya Wananchi’ ilijikusanyia alama 121 na kuifanya kuwa ya 8 kwa upande wa Afrika, na kuzipita timu kama vile Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini (9), Al Masry ya Misri (11) na MC Alger ya Algeria iliyoshika nafasi ya 12 barani Afrika.
Kwa upande wao, wapinzani wa jadi wa Young Africans, Simba Sports Club wako katika nafasi ya 222, ikiwa imekusanya jumla ya alama 97.5, pia ikishika nafasi ya 14 kwa ubora barani Afrika, kulingana na takwimu hizo.
Maendeleo hayana chama
Mambo ya kukimbia mechi.....yanatukwamisha Simba..kuwazidi yanga