Nini kimempata Clatous Chama pale Yanga?

Nini kimempata Clatous Chama pale Yanga?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,989
Huyu Mwamba kulikoni mechi nyingi hachezi na hata hizo anazocheza ni kwa muda mfupi sana? Hana Taarifa za ugonjwa Wala majeruhi kulikoni?

Hii sio hasara kwa klabu, kwa kulipa mamilioni mengi kumnunua mchezaji ambaye hataitumikia?

Hii sio madhara pia kwa kiwango Cha mchezaji husika?
 
Ni pendekezo la kocha mchezaji kucheza na yanga kocha haiingiliwi maana kwanza wachezaji kawakuta hakupoint yeye mwenyewe!, so atachagua wanaomfaa vyema
 
Mwalimu wa timu ndiye mwenye maamuzi ya kuhakikisha mchezaji gani aanzie ndani, na yupi aanzie nje.
 
Pale Yanga ushindani ni mkubwa ila arudi Simba bado kuna pengo lake ila ajue anakwenda kujitwisha gunia la Misumari kwakua kila mechi ata tumika kwakukosa msaidizi.
 
Huyu Mwamba kulikoni mechi nyingi hachezi na hata hizo anazocheza ni kwa muda mfupi sana? Hana Taarifa za ugonjwa Wala majeruhi kulikoni?

Hii sio hasara kwa klabu, kwa kulipa mamilioni mengi kumnunua mchezaji ambaye hataitumikia?

Hii sio madhara pia kwa kiwango Cha mchezaji husika?
Ni kama tu Torres alivyoenda Chelsea kwa mbwembwe
 
Chama muda wake bora umeshaisha, ni sawa na Miquissone na Mkude! Huwezi lazimisha jana iwe leo!
 
Back
Top Bottom