Yaani Mume Shujaa kasafiri zake kwenda kuleta Heshima nchini Misri huku nyuma Mke Maharage ya Mbeya nae anazurula kwa Waganga wa Kienyeji (Marafiki) Mkoani Tabora.
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe...
Ndugu zangu kuuliza sio ujinga. Ally kamwe si alifungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka miwili?
Imekuwaje anaendelea kujihusisha na mpira hadi hili sakata la tabora limetokea nimeshangaa sana...
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo...
Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if...
Dharau, kejeli na majina mabaya kwa timu ya Mchangamdogo Senta ni moja ya changamoto inayorejesha nyuma juhudi za maendeleo kwenye timu hiyo. Ameyasema hayo Kocha na Kepteni wa timu Bimkubwa...
Mtampangaje kucheza mechi kubwa mchezaji anaetoka majeruhi? Kama Camala angepona na kucheza derby na Yanga na kufungwa bao lile alilofungwa na Al Masry watu wa hivihivi wangesema amehongwa na...
Sisi Yanga tupo upande wa wanakijani wenzetu, na tutajaza uwanja Kwa kuvaa nguo zetu za kijani na tutasaport almasry.
Simba kashakufa mbili, mechi ya Kwa Mkapa anakufa moja, sisi wanayanga...
Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya...
Leo tumeshuhudia mechi nzuri ya kiufundi huku Simba alipigwa goli 2 bila kwenye mashindano ya shirikisho
1. Kuchezesha goal keeper Mousa Camara.
Simba ina walinda mlango 4. Kwanini coach Fadlu...
Nimepitia maoni ya watu wengi kuhusiana na hawa wasemaji wa vilabu. Wengi wao hawana weledi. Angalia namna msemaji wa Simba alivyokua akimuongelea Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, juzi Kamwe kamtolea...
Ubaya Ubaya!
Katika mechi ya dhidi ya Al Masry, Simba imefanyiwa vitendo vya dhulma kwa kunyimwa penalty wakati Ateba amefanyiwa faulo na golikipa wa Al Masry. Tegemeo langu lilikuwa ni kumuona...
Jana kilo kapigwa mbili bila ukitazama magoli yote kachomesha golikipa wao wanayemuona namba moja pon pon camera ambaye kiuwezo hamfikii hata robo Aishi Manula. Magoli yote yale huwezi kumfunga...
Kwa siku hizi tatu tension kubwa imekuwa Kwa mchezo wa tabora united vs Yanga media zote .... .mitandaoni, redioni, magazetini TVs Hadi mitaani gumzo ni mechi ya Yanga vs Tabora united hakuna...
Mpira ni TECHNICO kama kwenye Vita.
SSC ameingia uwanjani with bad technic , kitendo cha kufunguka pale MISRI na kujizolea possession ya 59% ….. ni failure ya technique na kumdharau adui. Hakuna...
Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC)
Kuna mpira mmoja...
Mimi nilijua tokea awali kuwa makolo hawawezi kutoboa katika ardhi ya firaun , hasa baada ya kumlipia tiketi ya ndege pamoja na malazi, mchambuzi mwenye njaa na makasiriko ya Yanga sc , ndugu...
Angalieni tu kwenye line up yao.....asilimia 95% ni wachezaji wa ndani...yaani wazawa.
Kama unabisha just Google cheki mechi za leo, line ups zipo tayari.....mtanielewa ndugu zangu
In summary...