Je Kuna mkakati wa kuififisha mechi ya Simba?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,033
Reaction score
33,020
Kwa siku hizi tatu tension kubwa imekuwa Kwa mchezo wa tabora united vs Yanga media zote .... .mitandaoni, redioni, magazetini TVs Hadi mitaani gumzo ni mechi ya Yanga vs Tabora united hakuna anayezungumzia mechi ya Simba huko loser cup.....imesahaulika hata ni lini itacheza

Hizi ni hypothesis za research yangu
1. Ni mpango wa kuififisha mechi ya Simba kule loser cup?
2. Ligi ya NBC imekua na nguvu (Tension) kuliko loser cup?

Je wewe unahisi jibu ni no ngapi?
 
Hamjapeleka wazee huko tabora kama mwanzo?
1000260206.jpg
 
Kwa siku hizi tatu tension kubwa imekuwa Kwa mchezo wa tabora united vs Yanga media zote .... .mitandaoni, redioni, magazetini TVs Hadi mitaani gumzo ni mechi ya Yanga vs Tabora united hakuna anayezungumzia mechi ya Simba huko loser cup.....imesahaulika hata ni lini itacheza

Hizi ni hypothesis za research yangu
1. Ni mpango wa kuififisha mechi ya Simba kule loser cup?
2. Ligi ya NBC imekua na nguvu (Tension) kuliko loser cup?

Je wewe unahisi jibu ni no ngapi?
1.4B vs 500M .....
UTOPOLO punguzeni mateso ya mioyo yenu Mwamposa anatibu nendeni mpate maji.
 
Hayo na
Kwa siku hizi tatu tension kubwa imekuwa Kwa mchezo wa tabora united vs Yanga media zote .... .mitandaoni, redioni, magazetini TVs Hadi mitaani gumzo ni mechi ya Yanga vs Tabora united hakuna anayezungumzia mechi ya Simba huko loser cup.....imesahaulika hata ni lini itacheza

Hizi ni hypothesis za research yangu
1. Ni mpango wa kuififisha mechi ya Simba kule loser cup?
2. Ligi ya NBC imekua na nguvu (Tension) kuliko loser cup?

Je wewe unahisi jibu ni no ngapi?
Hayo in mashindano mawili tofauti. Kila moja lina tension yake..
 
Kesho Tanzania itapata double dose ya furaha. Wanyamwezi watatupa furaha na Mpanzu atatupa furaha.

Kesho uto mtawajua vizuri wajukuu na vitukuu vya Mtemi Fundikira.
 
Back
Top Bottom