Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ni mechi ya kupindua matokeo na kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, leo Disemba 23, 2018 kwa wawakilishi wa Tanzania, Simba SC watakapokuwa wakikwaruzana na Nkana FC kutoka nchini...
28 Reactions
903 Replies
105K Views
Hello Tanzania, Sawubona South Africa! Karibuni katika Kindumbwe ndumbwe cha mtanange wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Africa (Total Energies CAF CC) kati ya wenyeji Simba Sc wa...
13 Reactions
726 Replies
45K Views
Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk. Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Na nilichompendea Referee kasema ataachia Offsides Tatu tu Kipindi cha Kwanza na zikipita wasije Kumlaumu kawauwa. ANGALIZO Sijamtaja hapa kabisa Referee wa Mechi ipi na lini sasa Wewe jifanye...
2 Reactions
6 Replies
622 Views
Ninapenda soka sana.Mimi si muumini wa dini za kishetani ambazo wengi wanaishi nazo na kuzileta kwenye maisha ya kawaida na bila shaka katika soka pia. Kuna aina ya roho za kichawi wengine...
1 Reactions
10 Replies
536 Views
"Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea
4 Reactions
63 Replies
2K Views
Baada ya kufungwa na Singida, sasa rasmi Azam FC hawatoweza kufikia idadi ya alama walizomaliza nazo msimu uliopita (69) walipokuwa chini ya kocha msenegali Youssouph Dabo, mpaka sasa Azam wana...
3 Reactions
13 Replies
899 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hao waarabu wakijiroga na wakawa kichwa ngumu wakatumia chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa tarehe 9 dhidi ya Makolo,namuhakikishia huyo Mwarabu...
2 Reactions
4 Replies
520 Views
Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Alietengeneza hili bango ana chuki binafsi kwa shemeji yetu 🀣
3 Reactions
5 Replies
972 Views
Ni dhahiri Sisi mashabiki wa Simba tuna mapenzi makubwa na timu yetu na tunatamani kuona mafanikio endelevu. Katika kutafakari mwenendo wa timu, ni muhimu kuangalia kwa jicho la tatu aina ya...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Ukisikia mwana Simba anamponda Mpanzu, na Kibu Dennis ujue huyo ni msukule wa utopolo. Nakuhakikishia hawa wachezaji wakienda upande wa pili,mtalia kilio cha mbwa nyie. Mtu anayeona vizuri...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Bora Onana kuliko Anteba nimemaliza sitaki maswali mengi.
1 Reactions
3 Replies
481 Views
Ni kipindi cha pili, team zote hazijafungana. Tanzania ipo kundi A inashika nafasi ya nne ikiwa na point 1 katika michezo mitatu iliyocheza ukiwemo huu (miwili iliotangulia Tanzania wamepigwa).
1 Reactions
49 Replies
2K Views
Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025. Ameahidi kuhudhuria au kutuma...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
13 Reactions
183 Replies
4K Views
𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄...! Kwa Mujibu wa AfrikaFactsZone Hawa Hapa ni Wachezaji Wanaolipwa Zaidi Katika Ligi za Afrika Kila Mwaka. 01: Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ - Ali Maaloul πŸ‡ΉπŸ‡³ | $1.5 million | Al Ahly 02: South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ -...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Utangulizi; Nchiniki TZ kiongozi anaweza kuamua jambo la umma anavyotaka, mtajua wenyewe mfikiriaje! Hoja kuu; Juzi kati timu ya Singida walizindua uwanja wa kuchezea mpira mzuri tu. Mpaka hatua...
0 Reactions
4 Replies
442 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…