Utabiri wangu kuhusu Soka la Tanzania

Utabiri wangu kuhusu Soka la Tanzania

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Huu ni utabiri wangu juu ya yajao kwenye soka la Tanzania.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️

SIMBA kwa mara ya kwanza 2025 inakwenda kuwa bingwa wa michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika.

SIMBA itakwenda jenga STADIUM yake na utakuwa mkubwa Afrika, huu utakuwa chini ya Mo. Baadae SIMBA itajenga stadium yake yenyewe na kuachana na mo studiam.

Mpaka hapo ndoa na ya simba na mo itakuwa imefika ukingoni. Miaka ya baadae simba itabadilisha jina na baadae logo.

YOUNG AFRICAN SC (YANGA)
Mda mchache kutoka sasa young African itakwenda kuachana na wachezaji kalibia wote wa sasa na kuunda timu upya, hali itakayopelekea kushuka sana kiuchezaji.

Hali hii itakuja kupelekea kuuzwa baada ya kuwa na migogoro na madeni makubwa na kuja kuwa na mmiliki mpya.

Kidogo itapata ahueni, mpaka hapo soka la Tanzania litakuwa na ushindani wa Azam na simba huku yanga ikiwa tia maji.

TANZANIA FOOTBALL FEDELATION (TFF)
Kibalua cha kalia kinakwenda kuota nyasi na chama cha mpira wa miguu Tanzania kinakwenda fanya mabadiliko ya uongozi na kuwa na uongozi mpya.

Baadae soka la Tanzania litakuwa juu na kuwa na kiti cha kudumu afcon na hata wordcup,
Wachezaji wa ndani wa Tanzania wataanza kuwa ghali na kuanza kuuzwa nje ya nchi.

2060
Fifa italifungia soka la Tanzania kifungo cha mda mrefu cha kuto kujihusisha na mchezo wa mpira wa miguu. Sababu bado sijazijua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom