Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

NUSU FAINALI CAF CC 🏆 . 🇹🇿 SIMBA SC 🆚 STELLENBOSCH 🇿🇦 YANGA VS STAND UNITED CRDB CONFEDERATION ROBO FAINALI KUPANGA NI KUCHAGUA 🏃🏃🏃🏃 mm yanga damu ila nahamia simba
4 Reactions
4 Replies
433 Views
Hii ni ahadi na itatekelezwa Safari imeanza wazee niko magomeni
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Nyota wa mchezo wa leo Ellie Mpanu alizungumza baada ya dakika 90' kumalizika. Mpanzu " Namshukuru Mungu kwa hatua kubwa tuliyopiga kwa kufika hatua ya nusu fainali na ukiangalia Misimu 5 ni...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Sisi Tunaona ni kawaida ila huko nje tunaonekana ni watu waajabu sana
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Wamejitahidi kucheza kwa nidhamu sana.ni timu mpya ambayo uwepo wake ni August mwaka jana. Valentino Nouma hastahili kuwa benchi.
1 Reactions
4 Replies
476 Views
Zamaleck chali kapigwa nyumbani
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Kengold haina mjadala atashuka tu, Je atashuka na nani moja kwa moja bila playoffs Mtibwa kakiwasha sana championship ana uhakika wa kurudi ligi kuu, je atarudi na nani
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Ukiangalia uwanja wa Taifa ulivyo sasa utagundua watu wanapiga hela a.k.a kutafuna nchi bila huruma viongozi muwe na hata chambe ya huruma hata kidogo Inaumiza sana billion 30 ndo zimeenda hivyo...
3 Reactions
9 Replies
453 Views
Nimesikitika mno kuona Ligi yangu inayosifika Kuwa iinashika nafasi ya tano kwa ubora Africa timu zake kubwa Yanga SC na Simba SC likija suala la kimataifa wanacheza kwenye Jaruba lililojaa maji...
0 Reactions
7 Replies
381 Views
Wapigwe Ban Wiki Nzima Nguvu Moja Ubaya Ubwela Ni hayo tu!
8 Reactions
11 Replies
556 Views
Mchungaji mmoja akiwa kanisani alitoa utabiri akisema kuna timu mwaka huu itafika mbali, kuna moja hata makundi haitoboi https://youtu.be/BMIoCQ3Ictw
1 Reactions
2 Replies
440 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Makolo eeeeeeeee amang'ana abharisya! Amueni wenyewe Leo,nipate amasenti au mnipe Furaha 😁 Reo ndiyo siku ambayo mutake musitake razima murime Rami!😁
2 Reactions
7 Replies
512 Views
Kwa hizi tabia za kishenzi hawa jamaa ndio maisha yao....
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Matoke ya mechi ya kesho. Simba 0 Vs Almasry 2
-2 Reactions
4 Replies
556 Views
JUMAPILI TUNAENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAMPOSA!" Mashabiki wote wa Simba Sports Club, ushindi wetu si wa kawaida – ni wa kiroho! Ni lazima tumrudishie Mungu utukufu kwa neema, nguvu na ushindi...
1 Reactions
6 Replies
569 Views
Usiku kucha wa kuamkia leo kimepigwa kisomo kikali hapa kwamsisi na wazee washatoa go ahead tuwahi Dar es salaam tukashuhudie goli zetu 4 kuoanda juu. Kama una roho mbaya kama hao utopolo baki...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Umofia Wana Jukwaa ! Kama Mada ilivyo, nawaza hivi huu uwanja huyo Mkandarasi anayejenga hakujua kuwa ball linatembea kwenye pitch sio vyoo? Naibu Waziri wa Michezo nimekuona unachukuwa Video ni...
1 Reactions
2 Replies
404 Views
Ile pitch mbona mbovu Sana, kuna ujanjaujanja pale umetokea, uwanja kama shamba la mpunga.
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakuu, Nimesikitika mno katika hili,uwanja kama vile uko pale tabora Mwanzo nilifurahi kusikia uwanja huu kufungiwa,kwani ingeamsha bongo za wahusika kuufanyia ukarabati na maboresho makubwa...
0 Reactions
4 Replies
314 Views
Ukifuatilia taarifa za kimpira, kwenye vijiwe, Mitandao ya kijamii, taarifa ya mtu mmoja mmoja na kila nyanja za kihabari na kishabiki kuhusu soka la Tanzania ndani ya wiki hii utagundua Mashabiki...
0 Reactions
5 Replies
357 Views
Back
Top Bottom