Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani
Labda rangi kwenye majukwaa
Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
Mchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
"Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika...
Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,
Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa
Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow...
Match imeisha tayari. Miundombinu imeshafanyika na kukaa sawa. Kazi imeisha.
Azam watake watafungwa, wasitake watafungwa. Sioni kama Azam wana pa kutokea. Hawana piga ua points 3 tunachukua...
Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto.
Mnaanza kulishana...
Habari jf,
Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki.
Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni...
Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa...
Wakuu
mtanisamehe kwa kiswahili kisicho fasaha,
Mimi ni mtanzania mwenye asili ya EGYPT baba na mama yangu ni shabiki wa al masry kwa miaka mingi, hivyo na mimi nimerithi mapenzi na ushabiki wa...
Klabu ya Simba ya Tanzania imemtangaza rasmi Kocha wa zamani wa Orlando Pirates, Fadlu Davids (43) ambaye ameachana na nafasi yake ya Kocha Msaidizi wa Klabu ya Raja Casablanca kuja kuinoa miamba...
Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu.
Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na...
Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo...
Rais Samia ameipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) na kufuzu Nusu Fainali.
Kupitia salamu zake, Rais...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata...
Leo tunaambiana ukweli.
Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua...
Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la...
RS Berkane wamepata penati ya kijinga, Asec wamegoma katakata hadi refa akacheki kwenye VAR, hili ni fundisho kubwa kwetu kuelekea mechi na waafrika kusini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.