Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako.
Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha...
Laliga yaja na kampeni inayoitwa VS RACISM hii yote ni kwa ajili ya kutokomeza ubaguzi wa rangi michezoni na adhabu kali zitatolewa mfano kifungo cha maisha gerezani au kufungiwa kuhudhuria...
Wasalaam,
Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.
Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs...
Tarehe 15, Juni 2025 inatarajiwa kuanza michuano hii itakayo fanyika nchini Marekani.
Awamu hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa michuano hii kutumia mfumo wa mpya wa klabu 32 kama lilivyo kombe la...
Mechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.
Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
⏰ Mchezo huu...
1. Kipa wetu Pin Pin Camara ndio usajili namba moja mzuri uliofanywa na viongozi wa Simba, ni kipa ambaye hata kama anafungwa huwa anafungwa kama wanavyofungwa makipa wengine duniani lakini...
Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini baada ya kuwatoa Zamalek SC, Stellenbosch kashinda bao moja sifuri ugenini palepale Cairo.
Soma, Pia: FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo...
Semi-final: Simba vs Stellenbosch
Zamalek wameikimbia Simba.
Nilishawahi kusema Stellenbosch ni timu ngumu sana, maandalizi yaanze. Pia Fadlu aangaliwe vizuri asije akaleta mambo ya familia...
Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara.
Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali...
Nadhani Leo Mmetoa pepo la MIAKA MINGI sana, now on mtakuwa mnapita robo to nusu kama kawaida.
Pepo limetoka kwa energy nyingi sana, I am impressed! Thanks for the good fight , however Yanga...
Hebu nawe msaidie Rafiki yako wa wasiwasi kwani ANAUMBUKA tu sasa Mitandaoni japo huwa Unamtumia kama Condom. hasa katika Kukufanikishia mambo yako ya Yanga SC na akishayatimiza kwa 100% na Wewe...
Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani
Labda rangi kwenye majukwaa
Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
Mchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
"Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika...
Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,
Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa
Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow...
Match imeisha tayari. Miundombinu imeshafanyika na kukaa sawa. Kazi imeisha.
Azam watake watafungwa, wasitake watafungwa. Sioni kama Azam wana pa kutokea. Hawana piga ua points 3 tunachukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.