Habari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa...
Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga.
Huku ni kupenda timu yako bila...
Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu.
Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote...
Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750...
Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani.
Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za...
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud...
Jonathan ikangalombo sio mchezaji wa soka Bali ni tapeli uliyeamua kujipatia kipato kupitia mchezo wa soka.Hivyo natoa wito kwa Eng.Hersi kumkamata huyu tapeli nakumfukuza mara moja..!!
Daima...
Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea
Mno
Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama...
Utakumbuka wakati wa Mwinyi Zahera hapo zamani hawa Stand waliharibu unbeaten run yetu ya mechi kibao bila kufungwa tulipokutana nao pale kwenye uwanja wao kupitia kwa Jakobo Massawe wakamfunga...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo...
Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana...
Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu...
Japo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively
Kama hamtakuwa na...
Kauli mbiu ya Simba ni ubaya ubwela, sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea Yanga ubaya, kwenye hiyo mechi,basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya.
Tukaishangilie Al Masry kesho
Simba wakisema wahamie ligi ya Egypt hawawezi kukosa tano bora.mpira wa Simba na timu za Egypt unarandana sana.
Azam natamani wahamie ligi ya Zanzibar. Huku bara ibaki Yanga na nduguze
Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu...
Mchezaji wa mpira wa miguu, gwiji Dimitri Payet anaripotiwa kuchunguzwa na polisi nchini Brazil baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji wa kimwili na kisaikolojia' dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake...
Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
🏟️ New Suez Stadium...