Wadau sikuamni pale niliposoma eti kigezo cha kuwa mgombea wa uenyekiti wa Simba awe walau na elimu ya kidato cha nne. Duh mbona ni ya chini sana? Lakini hata hiyo wapo wengine hawakufikia kigezo...
Robert Kiprono Cheruiyot tears apart Boston Marathon record
Kenya's Robert Kiprono Cheruiyot holds up the trophy after winning the 114th running of the Boston Marathon and setting a new...
Naelekea uwanja mkuu mpya wa Taifa kuangalia mtanange kati ya Simba na Yanga. Kwa kupitia kilonga mbali changu nitakuwa nawaletea live updates ikiwa kila kitu kitaenda sawa ( ie masuala ya credit...
Robbo's title run-in
Post categories: Football
Robbo Robson | 13:03 UK time, Monday, 22 March 2010
OK. I've combed the fixture list - first thing I've combed since me wedding day - and I...
Huyu beki enzi za uchezaji wake pale Man U,naona alikuwa beki makini na mwenye mvuto,sura yake kwa kweli ni tamu akiwa kazini ni nadra sana kukuta akismile kama wachezaji wengine.Kwa maoni yangu...
Diego Maradona has hinted that Argentina's line-up in their World Cup opener against Nigeria could be identical to the one which started the 1-0 win over Germany in a warm-up in Munich last month...
Inter Milan Boss Jose Mourinho has said he is "Not happy in Italian football"
Duh mie simwelewi huyu boss Josee kwakweli sasa yeye sijui hupendezwa na soka la nchi gani?
Sport's greatest coaching tantrums
Eurosport
A Canadian ice hockey coach has become an Internet phenomenon following a bench meltdown.
Abbotsford Heat head coach Jim Playfair threw...
Emmanuel Adebayor retires from Togo international duty
Manchester City and Togo striker Emmanuel Adebayor has announced his retirement from international football.
The decision comes...
Hivi TFF kwa nini hawabadiliki?,wataachana lini na tabia hii ya kuahirishaahirisha mechi za ligi kuu ya VodaCom na kuvuruga ratiba?,soma habari hii hapa chini toka gazeti la MwanaSpoti,inakera...
MABINGWA watetezi Manchester United wamepata pigo la tatu katika siku nane jana walipolazimishwa suluhu na Blackburn Rovers na kujiweka pabaya kwenye mbio zake za kugombea ubingwa msimu huu...
Frederic Piquionne celebrates his goal.
Portsmouth have set up an FA Cup final with Chelsea after upsetting the odds and securing an improbable 2-0 extra-time success over Spurs.
Tottenham...
John Terry's Dad On Cocaine Dealing Charge
The father of England footballer John Terry has been charged with dealing cocaine.
John Terry and his wife Toni arrive back from holiday in...
World Cup 2010 - Poor Ivorians find money for Sven
Eurosport - Tue, 30 Mar 12:29:00 2010
Sven-Goran Eriksson could make as much as £2 million for three months' work as Ivory Coast coach...
Huyu ndiye La Pulga = The Flea = Hako Kainzi Hofu/Tishio la Waumini wa Arsenal!
He is known as La Pulga, The Flea, but tiny Lionel Messi is the consensus choice as the worlds best soccer...
The New York Yankees might be world champions of baseball, but are the Bronx Bombers the world champion in sports spending?
A new study ranked all the world's professional sports teams by salary...
najua kuwa Wizara ya Michezo ya Tanznia imepatiwa ticket za kwa ajili ya mashindano ya world cup, za kuwauzia wananchi wake (kila nchi inapewa fungu lake)
hizi tiketi jamani zinapatikana kwa...
Najua Arsene Wenger wa JF utabisha. Lakini Digrii yangu ya Saikolojia inaniambia kuwa preoccupation na denial ni signs of fear. Ona sasa na huyu beki wetu wa nguvu naye anaunga tela la...