Msaada: natafuta tiketi za World Cup | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: natafuta tiketi za World Cup

Discussion in 'Sports' started by Gaijin, Apr 1, 2010.

 1. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  najua kuwa Wizara ya Michezo ya Tanznia imepatiwa ticket za kwa ajili ya mashindano ya world cup, za kuwauzia wananchi wake (kila nchi inapewa fungu lake)

  hizi tiketi jamani zinapatikana kwa utaratibu upi?

  i need 2 for atleast 2 different matches.

  ahsanteni
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hivi nyie tiketi zenu mme nunua wapi?
   
 3. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Gaijin,

  Tiketi zilizoletwa Bongo zilikwisha hata kabla hazijafika. Wabongo waliokuwa wanahitaji tiketi walikuwa zaidi ya 700 lakini tiketi zilizokuja ni 380 tu.

  Kwa hiyo kama unataka tiketi ongea na mtu yeyote aliyeko South Africa akununulie au kama una credit card basi ingia http://www.fifa.com/worldcup/organisation/ticketing/index.html na unaweza kununua tiketi yako moja kwa moja.

  Ila tu tatizo kubwa ni aina ya mechi unazozitaka na mji unaotaka kwenda kuangalia hizo mechi. Maana tiketi za timu kubwa kama Brazil, England, Netherlands, Germany na Spain zote zimekwisha!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  gaijin ni mtu wa utani sana!....

  ninunue tikiti halafu valuu anywe nani mda wote huo?
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,349
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  Jaribu pia kunywa soda za coca cola,nao pia nasikia wana tiketi kadhaa!!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehehehe!
  kali nyingine hii
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Very kind of you.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  Ni pm nikupe namna ya kuzipata
   
Loading...