Portsmouth claim final date

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,588
2,000

Frederic Piquionne celebrates his goal.

Portsmouth have set up an FA Cup final with Chelsea after upsetting the odds and securing an improbable 2-0 extra-time success over Spurs.
Tottenham were expected to put under-strength and relegated Pompey to the sword at Wembley, but Frederic Piquionne's 99th minute opener and Kevin-Prince Boateng's penalty secured a remarkable win.
High-flying Spurs started the game on the front foot, although Pompey always posed a danger to Harry Redknapp's side on the counter-attack.
French striker Piquionne was looking lively for the south coast side, however, his shots were often easily gathered by Spurs keeper Heurelho Gomes.
Tom Huddlestone was pulling the strings for Spurs and his cross was met by Peter Crouch before his long-range toe-poke was acrobatically tipped over by David James.
Spurs continued to dictate the pace in the second half although their inability to find the back of the net saw Roman Pavlyuchenko replace Jermain Defoe with an hour played.
The remainder of the second half chances feel to Crouch, but more often than not either James or the impressive Aaron Mokoena and Ricardo Rocha came to the rescue for Avram Grant's side.
The unthinkable happened in the 99th minute when Piquionne was Johnny on the spot to stab home from close range after Dawson slipped following Marc Wilson's free-kick.
Grant's charges could and should have netted a crucial second although John Utaka's through-ball was hopeless for Aruna Dindane in a two-on-one counter-attack.
With Spurs continuing to press the game was finally up when Boateng converted from the penalty spot despite Wilson Palacios appearing to make contact with the ball before bringing down Dindane in the penalty area.

source: skysports
 
Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,588
2,000
wakuu mie nimefurahi sana haya matokeo sio kwa vile spurs ni rivals wetu bali kuona timu yenye matatizo ya kifedha na inayoshuka daraja kucheza mpira kwa mapenzi ya mpira na sio kucheza mpira kwa ajili pesa.

they played with passion and deserved to win it.
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,290
1,250
Easy final for Chelsea teh teh teh Man and Fat Arse Anal keep on loosing points.
 
Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,120
2,000
Halafu utashangaa wanaipiga Chelsea na kuchukua kikombe. Itakuwa zawadi kubwa kwa mashabiki wao kuwapooza kwa kushuka daraja. By the way, hawana nafasi ya kushiriki Europa kwani hawaku-apply wakijua wataishia njiani. Haya ndo maajabu ya football.
 
Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,588
2,000
Easy final for Chelsea teh teh teh Man and Fat Arse Anal keep on loosing points.
ha ha ha mkuu hakuna mechi rahisi au jeuri unayo sasa? grant lazima atumie zana zote manake hana hasara yeye huku wacheZaji wake wakitumia mbinu zote kwani wanajua wanatafuta soko summer ha ha ha.
 
noma sana mkuu,yani kufika fainali ni zawadi tosha sana kwa washabiki zao ,wakichukua kombe itakuwa bonus.
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,290
1,250
Halafu utashangaa wanaipiga Chelsea na kuchukua kikombe. Itakuwa zawadi kubwa kwa mashabiki wao kuwapooza kwa kushuka daraja. By the way, hawana nafasi ya kushiriki Europa kwani hawaku-apply wakijua wataishia njiani. Haya ndo maajabu ya football.

Mate are you talking about a clever Monkey making love with an Elephant?
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,290
1,250
ha ha ha mkuu hakuna mechi rahisi au jeuri unayo sasa? grant lazima atumie zana zote manake hana hasara yeye huku wacheZaji wake wakitumia mbinu zote kwani wanajua wanatafuta soko summer ha ha ha.

hahahah mate its seems you enjoys most counting the chickens! Mbinu zipi unazozungumzia hawa Pompey tuliwachapa 5-0 kama huna kumbu kumbu! Final tunawapa full music. Waendelee kutafuta soko mechi walizobaki nazo! ila Totenham wanahasira wasubiri week end ijayo!
 
Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,588
2,000
hahahah mate its seems you enjoys most counting the chickens! Mbinu zipi unazozungumzia hawa Pompey tuliwachapa 5-0 kama huna kumbu kumbu! Final tunawapa full music. Waendelee kutafuta soko mechi walizobaki nazo! ila Totenham wanahasira wasubiri week end ijayo!

haya mkuu mie nitasubiri maajabu ya musa ha ha ha. spurs hao tunacheza nao jumatano,tutawakimbiza sana na walivyo choka kwenye mchakachaka wa pompey leo ndio kabisaa.

naona man united kakufungulia njia sasa unatutolea macho sisi.
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,290
1,250
haya mkuu mie nitasubiri maajabu ya musa ha ha ha. spurs hao tunacheza nao jumatano,tutawakimbiza sana na walivyo choka kwenye mchakachaka wa pompey leo ndio kabisaa.

naona man united kakufungulia njia sasa unatutolea macho sisi.

Oyaaah Jumatano kumbe! Nanyi bado mumechoka na kihoro cha Messi ....a draw will be a fair result!
 
Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,588
2,000
Oyaaah Jumatano kumbe! Nanyi bado mumechoka na kihoro cha Messi ....a draw will be a fair result!

tumechoka wapi,messi alikuwa anajifurahisha mwenyewe pale hakuna beki aliepoteza nguvu zake kumkaba.

tukitoa draw nitawashangaa sana wachezaji wetu.kama kuna mechi ambayo tunatakiwa tupigane kufa na kupona ni hii ya spurs.na najua na wao watatukamia kinoma.
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,290
1,250
tumechoka wapi,messi alikuwa anajifurahisha mwenyewe pale hakuna beki aliepoteza nguvu zake kumkaba.

tukitoa draw nitawashangaa sana wachezaji wetu.kama kuna mechi ambayo tunatakiwa tupigane kufa na kupona ni hii ya spurs.na najua na wao watatukamia kinoma.

Umenena ukweli yule Silvestre alikcheza one- two na Messi! Ila kale kajamaa ni kagenius uliona na jana alivyowafanya Elmadrido jana kwenye El klasiko?
 
Moderator

Head of Content Management
Nov 29, 2006
672
1,000
wakuu mie nimefurahi sana haya matokeo sio kwa vile spurs ni rivals wetu bali kuona timu yenye matatizo ya kifedha na inayoshuka daraja kucheza mpira kwa mapenzi ya mpira na sio kucheza mpira kwa ajili pesa.

they played with passion and deserved to win it.

Agree, agree...:D walikuwa wanachonga sana hawa spuds....kama Chelski vile...kelele miiiiiiiingi kabla ya kuvuka mto!

Easy final for Chelsea teh teh teh Man and Fat Arse Anal keep on loosing points.

...
:D wewe acha kufundisha watoto matusi bana.... mnakuwa kama wapenzi wa Yanga bana? eti easy Final, tutaona!
 
Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,120
2,000
Mate are you talking about a clever Monkey making love with an Elephant?

ha ha haaa! noma kweli. Hata hivyo ni suala la kusubiri, ni mwezi ujao. Labda refa atakuwa yule Webb (maana mwaka huu marefa wanawainua sana).
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,290
1,250
ha ha haaa! noma kweli. Hata hivyo ni suala la kusubiri, ni mwezi ujao. Labda refa atakuwa shule Webb (maana mwaka huu marefa wanawainua sana).

Refa aliyechezesha mechi ya Bolton na Arsenal alikuwa anaitwa nani vile!? Gallas stamped on Kevin Davies, that was a straight red card mazee....marefaa bwana noma sana
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,290
1,250
Agree, agree...:D walikuwa wanachonga sana hawa spuds....kama Chelski vile...kelele miiiiiiiingi kabla ya kuvuka mto!
...
:D wewe acha kufundisha watoto matusi bana.... mnakuwa kama wapenzi wa Yanga bana? eti easy Final, tutaona!

Matusi yako wapi mazee ama ni Messiology effecto?
 
Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,588
2,000
Umenena ukweli yule Silvestre alikcheza one- two na Messi! Ila kale kajamaa ni kagenius uliona na jana alivyowafanya Elmadrido jana kwenye El klasiko?

nilicheki game ,dogo computer yule,hile pasi alivyoichukua utasema katumia mkono kumbe kifua lol.dogo noma nasubiri sana world cup hijemanake noma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom