Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Piga kura yako hapa tujue kati ya Mpanzu na pacome nani anajua mpira kuliko mwenzake. A:Mpanzu B: Pacome NB: USHABIKI TUWEKE PEMBENI TUANGALIE UWEZO
1 Reactions
39 Replies
3K Views
KILA LA KHERI MPAKQ SASA MKEKA UNAOSMA HIVYO SIO KWA NIA MBAYA NAWATAKIA HERI KAMA MTANXANIA SIMBA SC HT WATABANA DRW FT WATALEGEZWA KAMA.MLENDA HAPO NAFIKIRIAA KAZI IENDELEE...
1 Reactions
8 Replies
549 Views
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha...
15 Reactions
80 Replies
3K Views
Tulisubiri miezi ....wiki ...siku hatimaye siku ya kiama imefika .....ni siku ya Simba kutolewa kwenye michuano dhaifu ( loser cup) ubora wa kikosi Cha Simba hauwezi kuamua mechi Leo ....ni lazima...
5 Reactions
80 Replies
3K Views
Stellenbosch atakufa kwa kikosi hiki tu na sio vinginevyo 1. Camara 2.Kapombe 3. Nouma 4.Che Malone kama amepona 5.Hamza 6.Kagoma 7.Kibu 8.Okajepha 9.Ateba 10.Mavambo 11. Mpanzu
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Stellenbosch hawana mbambamba wanataka watu wajae uwanjani. Kiingilio mchezo wao dhidi ya Simba ni Buku Nne Mia Tano ya pesa madafu. Mchezo huo utapigwa katika dimba bora la kisasa la Moses...
2 Reactions
7 Replies
957 Views
Simba imekuwa club ya kujipendekeza sana kwa serikali kama vile ni mali ya serikali. Walikuwa wavaa Visit Tanzania bure kabisa bila malipo, tofauti na wenzao Yanga. Wenzao wakapewa ndege mwaka...
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Moja ya makocha ambao wakimuona mchezaji kwenye mazoezi hata siku moja tu wanajua ana weakness na strength zipo Ni kocha Don Carlo ,chini ya Carlo wamepita wachezaji wengi walioenda kubeba Ballon...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama...
0 Reactions
9 Replies
938 Views
Wadau na wapenzi wa mpira! Niiombe TFF fanyeni kazi kwa misingi ya sheria na kanuni! Ikibaninika na ushahidi ukapatikana aliyeusika kutoa na kupokea wapigwe Ban katika soka letu! Kwani hawa...
3 Reactions
3 Replies
409 Views
Kila nikifikiria terms and conditions za Mkataba wa ndugu zetu makolo moyo unaingia ubaridi Kwa mambo yafuatayo Mdhamini kaingia Mkataba wa jezi 38 billion Kwa miaka mi 5 ....then mumpe...
1 Reactions
76 Replies
3K Views
Nimeona kuna mjadala mkali unaendelea mitandaoni kuhusiana na baadhi ya mashabiki wa Simba kuamini kuwa Simba haipati matokeo mazuri pale mechi zake zinapotangazwa na mtangazaji wa Azam TV, Gharib...
12 Reactions
65 Replies
3K Views
Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Wakuu hapo siku za nyuma makolo wali hack mfumo wangu wa utabiri na hivyo kutoa utabiri uliokinyume na matokeo hivyo kusababisha kula ban Hivyo basi Baada ya kuurekebisha mfumo mfumo wangu wa...
16 Reactions
240 Replies
7K Views
Taarifa ya SkySports inayoelezea jambo hilo hii hapa
0 Reactions
7 Replies
407 Views
  • Closed
JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya kweli. Tazama hapa ==== Taarifa rasmi
9 Reactions
55 Replies
4K Views
Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo...
0 Reactions
44 Replies
2K Views
eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo: 1-Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES)...
3 Reactions
81 Replies
9K Views
Leo nimeangalia kikosi kilicho safiri na simba nimeshangaa kuona wachezaji hawa hawapo ukiangalia gorini manula ana uzoefu mkubwa.
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…