hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,642
- 19,018
Moja ya makocha ambao wakimuona mchezaji kwenye mazoezi hata siku moja tu wanajua ana weakness na strength zipo Ni kocha Don Carlo ,chini ya Carlo wamepita wachezaji wengi walioenda kubeba Ballon d'Or ,
Jude Bellingham akiwa BVB na akitumika National team Uingereza alikuwa anacheza Central Midfield , either kulia au kushoto , hakuwa na impact kubwa kiasi hicho, nakumbuka World cup Kuna mechi alikuwa ndani ya dakika 45 anatolewa ,au ilikuwa bila kumchezesha na Viungo wawili wakabaji ,Kama Rice na Henderson alikuwa anateseka Sana
June Calafat anamleta Madrid chini ya Don Carlo , anamuangalia session moja ya mazoezi Kisha anaturudisha kwenye ile AC Milan ya 2005-2007 ,alipokuwa anatumia mfumo wa 4-3-1-2 kwa waitaliano wanauita TREQUARTISTA, @Gangchomba atakuwa anaelewa Nini nazungumza
Role anayocheza Jude Bellingham,Don Carlo ndio alimtumia Ricardo Kaka pale Ac Milan miaka ya 2004-5
Waitaliano wanaita Trequartista kwa kiingereza "three quarters" kiswahili Robo tatu
Trequartista is a playmaker who operates behind the front line but in front of the midfield.
AC Milan ile ,Don Carlo alikuwa anamtumia Ricardo Kaka Kama Trequartista na mwisho Kaka alitwaa Ballon d'Or 2007.
Sasa ameirudisha ndani ya Madrid akimtumia Jude Bellingham tofauti na alivyokuwa anatumika alipotoka,
A typical trequartista will possess great creativity and agility, as well as boasting an envious passing range, ball control and eye for goal.
Mifano ya trequartistas ni Diego Maradona, Juan Roman Riquelme, Kaka, Totti, Wayne Rooney, and Zinedine Zidane.
Kumekuwa na mijadala mingi ya kumfananisha Jude Bellingham na wengineo Kama Gavi ,n.k but ni makosa makubwa sababu Jude kwasasa anatumika Role tofauti na Kina Gavi wanaocheza zaidi Central Midfield.
END.
By Mchambuzi nguli