Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Man u hawana historia ya kumfunga riva... Na leo inaziilika hilo,,,
0 Reactions
1 Replies
913 Views
ndo naelekea runingan,plz man u piga liverpool j2 yangu iende vema.2-0
0 Reactions
0 Replies
832 Views
....napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha nyote katika uwanja wa Taifa leo kushuhudia soka ambalo halijawahi kushuhudiwa toka kocha wa zamani wa team ya Taifa Marcio Maximo amalize kipindi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni Mrisho Khalfani Ngassssaaa anaipatia Simba bao la tatuuu.. Simba tatuuuu Yangaaaa bilaa!! Ni kazi nzuri ilifanya na haruna moshi boban hapa!! Naona wachezaji wa yanga wanashika viuno hawaamini...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
YM huna jipya. Tulikuchagua ili timu yetu iwe kama TP Mazembe. Sasa tunaelekea kushuka daraja. Tunaomba utuachie timu yetu kama Nchunga alivyoiacha. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari ambazo bado hazijadhibitishwa rasmi na uongozi wa yanga africans ni kuwa kocha mkuu wa timu hiyo TOM SANTIEF nae pia ametimuliwa baada ya kuwasimamisha kazi secretariet nzima ya timu hiyo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yanga wamemtimua kocha mkuu tom baada ya kuwafokea wachezaji wake kuwa wanajirembâ
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kipondo cha goli twite aka goli tatu au kibajaji toka kwa wakata miwa wa mtibwa sukari hatimaye leo yanga imewatimua voingozi wake waajiriwa waliwemo louis sendeu, katibu mwesiga...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Na prison 0-0 mtibwa tumeshinda (-3) mungu tujaalie game ijayo tumpige mtu negative 4 na mnyama tumtandike hasi5 au -6
1 Reactions
10 Replies
1K Views
The Barclays Premier League is Back, whats your predictions for this coming season, Who will win the league, come second,third and fourth? what about this weekend's fixtures My Predictions 1 MAN...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Leo katika uchambuzi wa Magazeti asubuhi katika Clouds FM Bw. Gerald Hando amesema gazeti la Uhuru la jana Alhamisi halijaripoti kabisa habari ya Yanga kuchezea kipigo cha 3-0. Cha ajabu leo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SIMBA SC 2-0 JKT RUVU (Amri Kiemba,Haruna Moshi) FT; MTIBWA SUGAR 3-0 YANGA (Dickson Daudi 11, Husein Javu 45,77) DAKIKA 90;
0 Reactions
28 Replies
6K Views
1. Kuna wachezaji wawili tu wa timu pinzani ya Barcelona waliowahi kupata 'standing ovation' kutoka kwa mashabiki wa Madrid - ni kina nani hao?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika utafiti mdogo uliofanywa na mimi mwenyewe leo asubuhi,nimegundua kwamba magazeti ya MICHEZO mengi hayauziki kabisa kwani kama ujuavyo MEDIA nyingi za bongo zinashabikia mno YANGA na jana...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
http://youtu.be/k6hEAJrCz0A haya ndio maamuzi ya marefa wetu
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Its first leg of round one of Europa League. Spurs, whose chance to play in Champions League was overtaken by Chelsea, takin on Lazio at White Hart Lane. Join me for this encounter...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mliopo viwanjani tunaitaji matokeo YANGA Vs MTIBWA na mechi zinginezo,.
0 Reactions
113 Replies
12K Views
Baada ya game mbili za ligi. Simba. Yanga Goals For 5. 0 Goals Against 0. 3 Aggregate: +5. -3 My take: wakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Talks of a new contract for Arsenal manager Arsene Wenger further assert the fact that he has the safest job in world football today. And until Arsenal’s second largest shareholder Alisher Usmanov...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HAYA KWA WALE WAPENZI WA FABO NINAWAPATIA UCHAMBUZI WA KINA WA MECHI. KONG'OLI HAPO CHINI UPATE DATA KAMALI YA JINSI YANGA ALIVYOBUGI. trequatista | Wix.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…