Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Siku mbili hizi kumekua na report za European Union Police kuhusiana na match fixing kwenye soka. Kilichonishtua safari hii ni kuwa jamaa wanasema huu upangaji wa matokeo umeenda as far as World Cup and European Championship qualification matches as well as Champions league.
Match ya Liverpool Vs Debrecen (16/09/2009) inasemekana kipa wa Debrecen alikua amekula mlungula ila Liverpool hawakujua lolote kuhusiana na hilo.
Nachojiuliza hapa ni kuwa, je ni match ngapi ambazo may be hawajazisema hadharani zimekumbwa na hili sakata? Ni ngapi hawana information zao kuhusu upangaji wa matokeo? Ni match ngapi tunakaa tunabishana kumbe zishapangwa matokeo yake? Na hivi utajisikiaje miaka kadhaa ijayo kusikia kuwa wachezaji kama Messi, CR7 au Rooney walisaidiwa na wapanga matokeo kwa kuwahonga defenders ili wao waonekane vimungu mtu vya soka?
http://www.thesun.co.uk/sol/homepag...cens-Champions-League-fix-scandal-keeper.html
http://www.thesun.co.uk/sol/homepag...d-will-attract-bets-in-UK-worth-millions.html