AC Milan uwanjani;Balotelli acheka na wavu

AC Milan uwanjani;Balotelli acheka na wavu

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
Ni AC dhidi ya Udinese.Tayari,katika dakika ya 25,Mario Balotelli ameshapachika bao moja kwa AC Milan.Milan wana nafasi ya kuchumpa hadi nafasi ya nne kama ikishinda kufuatia kufungwa kwa Inter Milan mabao 3-1 na Siena.

cc Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:
Not only scoring but Balotelli is looking very lively today, ana dribble, ana piga pass na some wonderful shots, if they can manage him, may be tunaweza kumuona the actual Balotelli.
 
Not only scoring but Balotelli is looking very lively today, ana dribble, ana piga pass na some wonderful shots, if they can manage him, may be tunaweza kumuona the actual Balotelli.
Ni kweli Mkuu
 
And seeing him celebrate with his team mates after the final whistle, one can argue that Balotelli is finally home and he looks happy there!
 
Ni AC dhidi ya Udinese.Tayari,katika dakika ya 25,Mario Balotelli ameshapachika bao moja kwa AC Milan.Milan wana nafasi ya kuchumpa hadi nafasi ya nne kama ikishinda kufuatia kufungwa kwa Inter Milan mabao 3-1 na Siena.

cc Gang Chomba

Super Mario Balotelli anaitoa Milan Kutoka nafasi ya 6 mpaka nafasi ya 4 baada ya kupachika magoli mawili na ya pekee kwa Milan.

Wenye husda linawachoma.
 
Last edited by a moderator:
that is mario bana we will miss penalts hair styles and much more..

good luck mario
 
that is mario bana we will miss penalts hair styles and much more..

good luck mario

kweli mtammis na penalty zake maana kale kapenati ka jana..mmmh!ingekuwa sie wenye damu ya kunguni hadithi ingekuwa nyingine saa hizi!
 
Zamani ilikuwa tattoo siku hizi Milan ni wazee wa viduku..kwi..kwii!
 
Ile penati hata makipa wangekuwa wanne wasingedaka...

nazungumzia uhalali wa penati ile.mpaka allegri mwenyewe kasema ile haikuwa penati.tungekuwa sie pale..mishipa ya shingo ingewatoka watu!
 
yes,hukumbuki tatto za akina Ambrosini,Gattuso,Shevchenko,Kaladze n.k sasa leo pale san siro ni mwendo wa viduku tu,balloteli,el shaarawy,Niang na wengineo Chomba atamalizia.

Mexes na Boateng
 
nazungumzia uhalali wa penati ile.mpaka allegri mwenyewe kasema ile haikuwa penati.tungekuwa sie pale..mishipa ya shingo ingewatoka watu!

Dakika ya 77 Balotelli aliangushwa then Refa akakauka kimyaaa...
Au hukuona?
 
Not only scoring but Balotelli is looking very lively today, ana dribble, ana piga pass na some wonderful shots, if they can manage him, may be tunaweza kumuona the actual Balotelli.
Binafsi siwezi kumlaumu Balotelli,ni malezi aliyokulia kuwakosa wazazi wa damu kumlea,nimeona wengi wa watu wasiolelewa na wazazi wao na ukijumlisha wakiwa chini ya miaka 25 bado akili zao hazijakomaa na wengi wao ni watukutu,ndio maana inakuwa ngumu kumnyosha Balotelli,aliacha kimbwanga jijini Manchester wakati ombaomba wa kizungu barabarani alipokuwa anaendesha bentley yake alikuwa anaomba akafungua dirisha na kumpatia Pauni 1000,yule mzungu sababu hafuatilii soka hakumjua Balotelli,akahadithia wa2 mtaani na alishangaa kuona jinsi mweusi gani kampa hela nyingi kiasi hadi magazeti ya udaku eg the sun yalidadisi na kujua ni Balotelli,na kumuuliza kwanini kampa hela nyingi kiasi hicho yule ombaomba,Balotelli akadai ili siku nyingine asimuombee tena itamsaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom