Drogba astaafu vibaya

Drogba astaafu vibaya

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
Ivory Coast imenyukwa mabao 2-1 na Nigeria na kuishia kwenye Robo Fainali AFCON. Ndoto yake ya kunyakua Kombe hili zimeyeyuka kama mshumaa.Pole kwa Drogba na Tembo wote;hongera kwa Nigeria.
 
Kwani mkuu Petro Mselewa unafikiri Nigeria ni timu ndogo?
-Nigeria imecheza nusu-fainali nyingi. Kwa hiyo wamezoea kufika hatua hiyo.
-Ivory Coast imejitahidi pia, lakini tatizo ni kwamba wao kwa sababu walikamiwa sana, kwa sababu walikuwa wamepewa nafasi kubwa. Nigeria walitaka kulinda heshima.
 
Back
Top Bottom