Chelsea are beaten again at home by Swansea City by 2 goals to nil, kwa record, yeye ndio mwenye record mbovu mpaka sasa kuliko any other interim manager under Abramovich
Bw. Miraji Mrisho Kikwete.
Shirikisho la Ngumi la Kimataifa Africa (IBF/Africa) limemteua bwana Miraji Mrisho Kikwete kuwa Makamu wa Rais anayeshughulikia maendeleo ya vijana katika bara la...
Hii ni Barca ya ukweli...
Ukianza kuwafunga hawa watu(Barca) wakati mchezo unaendelea, ni sawa na kuwachokoza nyuki kwenye mzinga wa nyuki, kutoka uwanjani unatoka na ulimi nje hoiii bin taaban!
kipindi kifupi kilichopita kuliokua na vurugu nying kuhusu ngasa kwena el mereihk ya sudan naamin.kukiwa kimya mpaka sas hiuku kila pande zikivutana .nimetembelea website ya club na kwenye...
HOTELI walifikia inaitwa FAME RESIDENCE LARA & SPA; Hotel ina Uwanja Mzuri wa MPIRA nimeshindwa kuchua PICHA zake....
Wachezaji wa Yanga wakiwa wamepumzika katika Uwanja wa ndege wa kimataifa...
Azam FC imeingia finali ya Mapunduzi Cup kwa mara
nyingine, imeitoa Simba kwa penati ya 5-4, dk 120
zilimalizika kwa sare 2-2, magoli ya Azam Fc
yamefungwa na Jockins Atudo pongezi kwa timu...
Dakika ni ya 43,mabao ni 2-2...mpira ni mkali kuliko maelezo.Madrid wako pungufu baada ya Adan kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 6.Uwanja ni Santiago Bernebeu
ivi edo kumwembe ana agenda gani na sammata,coz sammatta akifanya vizuri uwanjani mpaka kinshasa jamaa huwa anaenda na kumsifia,,,,na kupiga nae picha kumuandika kwa mazuri,,,,,,,akizingua...
Ni club ya Yanga jana ilijitupa kwenye uwanja wa mpira wa ADORA FOOTBALL mjini ANTALYA kumenyana na timu ya daraja la tatu kutoka UJERUMANI.
Katika mchezo huo ambao uliisha kwa sare ya goli 1-1...
Wakuu taarifa za uhakika toka Zenji ni kuwa Simba imewaduwaza wapenzi na mashabiki wa soka visiwani kwa kuendekeza imani za kishirikina. Siku ya pambano na Tusker, waliingia kwa mstari mmoja...
WanaJF, Mimi nasikitishwa na hii television ya ATN. Kwanza kabisa ile ni chanel ya mambo ya dini,lakini kwa tamaa yao ya pesa wamebidi waingie mikataba ya kishetani,kwa mfano wanapoomba kuonyesha...
katika makosa tutayojutia kwa zama nyingi ni kuthubutu kwetu kumpa juma kaseja j to the k,nafasi hii kubwa ya unahodha wa timu yetu ya taifa,taifa stars.
Ni kweli kabisa juma kaseja...
Kila mwanachama wa Fifa anapewa kura 3 katika FIFA Ballon d'Or, moja ya Captain wa timu ya taifa, moja ya Kocha na moja ya media, naona Tanzania kocha na Kaptain hawajapiga kura, kura ya media...
Dakika ya 28 ya mchezo kati ya Barcelona na Betis imeshuhudia Lionel Messi akiandika REKODI MPYA YA DUNIA kwa mchezaji wa mpira wa miguu kufunga mabao mengi katika mwaka mmoja.
Bao la pili la...
Misfit Manchester City striker Mario Balotelli and manager Roberto Mancini were involved in a furious training ground bust-up today.
The City boss was seen to grab, shove and gesticulate wildly...
Matokeo ya baadhi ya mechi zilizochezwa barani ulaya wiki hii ni kama ifuatavyo:
Chelsea 5 Southamton 1
Man U 2 Westham 2
Yanga 1 Alumnia 1.
Tehe tehe teheee.