Goal line technology,mwanzo wa....

Goal line technology,mwanzo wa....

capo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
232
Reaction score
47
Mnasemaje kuhusu hii kitu wakuu, huu si ndio mwanzo wa mpira wa miguu kuanza kutumia technology kwenye kila kitu,imeanza kwenye goli,mara itakuja kwenye kuzidi,halafu ipo siku viatu vitatengenezwa maalum kwa ajili ya kujua kama umemkanyaga mwenzio,naona mchezo huu ambao umewatoa vijana masikini wanaanza kuualibu sasa,ipo siku itakuwa kucheza soka mpaka uwe na pesa.
 
Waingereza wameipitisha kwa nguvu baada ya goli walofunga
kwenye Euro lilikuwa limevuka mstari na refa alilikataa
Waingereza huwa wanapenda kujipendelea mno
 
Innovative & creativity!waliogundua wanakula kiulani sasa £46m kila uwanja
 
Sioni umuhimu wake kabisa.. Its rather watumie assistance referees wa pembeni ya goli kama UEFA wanavyotumia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Afazali ije zile timu za kubebwa kama man u na basalona zimekwisha, nashauri walete ya kuangalia kama penati au co penat au faulo au sio faulo kuna tim apo zitabaki historia
 
Back
Top Bottom