Wakutu
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 249
- 173
Yani leo ni siku ya kihistoria sana kuna kitu kitafanyika pale uwanja wa taifa.Kama hujui leo washabiki wa YANGA na SIMBA wote wataungana kumshangilia MNYAMA wa MSIMBAZI pale atakapomenyana na bwana mdogo lakini jeuri ka' nini (AZAM),kitu kama hiki huwa inatokeaga nadra sana.....Tuungane pale taifa itimiapo alasiri.