Mkoa gani una vipaji vya soka

Mkoa gani una vipaji vya soka

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Wadau kwa mitazamo yenu naombeni mnitajie mikoa top 3 mnayoiona ina vipaji lukuki vya soka
 
Mwanza ndo inaongoza hata ukiangalia wachezaj weng now wametokea huko, zaman ilikua kigoma.. Mikoa mingne kwa sasa ni mbeya na morogoro. Dar hakuna vipaji wote wahamiaj
 
Mwanza n dar

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Rockcity native nakuumga mkono binafsi mikoa yangu ni mwanza mbeya na kigoma hii ndo mikoa ambayo ningeenda kama ningekuwa scout wa kuchagua vipaji mikoani maana hata taifa cup wapo vizur dar kusema kweli wahamiaji ni wengi nadhan hata kwenye taifa cup kaseja wa kigoma alichezea dar mwee
 
Angalia idadi ya timu zilizo ligi kuu. Dar ipo juu
 
kigoma pemba na mbeya ndio kuna vipaji dar wanazamia tu..
 
Kigoma, Mwanza na Mbeya; ungesema mitano ningeongeza Morogoro na Dar es Salaam. Lakini kwa sababu umesema mitatu basi Morogoro na Dar es salaam watanisamehe.
 
Ucheni fikra potufu,wakati Tz hata haikawahi kufika robo fainali ya soka la Afrika wala kushiriki unafkiria mkoa gani unavipaji?hivo vipaji vimeweka record gani duniani?They way u think they way u reflect lol.mmshame on U wakati Americans ina states 52 ambayo moja tu mf. Texas inafanana na Tz yote!!think abt nationality U think abt regionalism?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ucheni fikra potufu,wakati tz hata haikawahi kufika robo fainali ya soka la afrika wala kushiriki unafkiria mkoa gani unavipaji?hivo vipaji vimeweka record gani duniani?they way u think they way u reflect lol.mmshame on u wakati americans ina states 52 ambayo moja tu mf. Texas inafanana na tz yote!!think abt nationality u think abt regionalism?

Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
teh teh umenivunja mbavu zangu kwa comment yako.
 
Kigoma, Morogoro na Mwanza......DSM ni kituo tu wanapokusanikia wakitokea pande hizo nilizotaja.
 
Ucheni fikra potufu,wakati Tz hata haikawahi kufika robo fainali ya soka la Afrika wala kushiriki unafkiria mkoa gani unavipaji?hivo vipaji vimeweka record gani duniani?They way u think they way u reflect lol.mmshame on U wakati Americans ina states 52 ambayo moja tu mf. Texas inafanana na Tz yote!!think abt nationality U think abt regionalism?Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yaani mwekundu umeongea bonge la pointi.na ninadhani kitu ambacho kinatuletea umaskini Tanzania , kandanda nayo ni nambari wani. Hili ni janga la Taifa na kama kuna kitu ambacho watanzania wangeungana na kuandamana kifutwe kabisa nchini ni hii kituMichezo ambayo imewahi kuitangaza Tanzania kama Boxing na riadha tumeitelekeza ,udhamini hakuna watu wamengangania kitu ambacho si asili yetu.

Wanajenga uwanja kwa mabilioni wanaajiri makocha wa kizungu kwa fedha nyingi ,wananunua wachezaji kwa fedha nyingi matokeo ni kutolewa kwenye mashindano raundi ya pili.Kwa nini tusielekeze nguvu zetu kwenye volleybal,basket ball .table tennis riadha na boxing. kwanini hii michezo? kwanza viwanja vyake ni vidogo na vya garama nafuu ni miepesi inavutia na haina garama nyingi za maandalizi.Hima hima Watanzania tuchukue hatua tufute hili janga tusiwazoeshe watoto wetu hii kitu ya hatari watakuwa wakiwa na option nyingine ya michezo tofauti na sasa wanazaliwa na kukuta masaa yote wazazi wanakomaa na mfupa uliomshinda fisi na kufikiria ndio mchezo pekee.


Tuone aibu jamani wimbo wetu wa Taifa haujawahi kupigwa kwenye olympic ? Wimbo unapigwa ala unafikiri ni wa kwetu unafika huko mbele unabadilika ala!kumbe ni wa Afrika ya kusini Heee Kumbe zinafananaeee Hasira zinanipanda nazima TV. Unaona mwanariadha anaongoza kavaa nguo zinzzofanana na bendera yetu anashangiliwa .Na sisi Tanzania si tulituma wawakilishi ? Ehee ndio kwenye marathoni walikuwepo.Nafurahi mwishowe anakaribia naona mgongoni wameandika SOUTH AFRIKA. Hee hatari tena kumbe na bendera zetu zinzkaribia kufanana?


Tuonyeshe dunia kama na sini tupo ,na sisi ni tofauti na mataifa mengine na hili kamwe halitawezekana kupitia football kamwe haiwezekani .tujikite kwenye michezo mingine
 
Back
Top Bottom