Utani si ugomvi, hebu mpongeze mtani wako kwa hatua aliyofikia.
Ikibidi mtag kabisa hata mmoja Kisha ipongeze team yake kwa hatua ya fainali ilofika.
YANGA yupo fainali muungano. SIMBA yupo...
Habari zenu wanajamvi...
Bila kupoteza muda naomba anaefahamu shule na vyuo alivyo soma wakili Patrick Simon anijulishe.
Nataka nifanye tafiti binafsi kuhusu taaluma yake.
Simba Oye! Rais wa Heshima Dewji Oye..Wazee wafupi wa kazi Oye! Fadlu Oye!
Simba SC inaogelea kwenye pesa msimu huu haswa upande wa kimataifa.
Hongera kwa viongozi, benchi la ufundi, wazee...
Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imeshindwa kwenye kesi yake ya awali iliyoifungua kwenye Mahakama ya Usuluhishi Michezoni (CAS).
Yanga SC katika kesi ya msingi ikiyoifungua dhidi ya TFF, Bodi ya...
Rasmi Yanga ni Mabingwa 2025 na Mabingwa mara nyingi zaidi wa kombe hili la Muungano. Napenda kuwakumbusha Viongozi, Wanachama wapenzi na mashabiki wa club hii kubwa zaidi Afrika Mashariki...
Wachezaji wa Kikosi cha Mashujaa FC wamewekewa kiasi cha shilingi millioni 100 kama wataifunga Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utachezwa Ijumaa Mei 2.
Wachezaji hao wameahidiwa...
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+.
Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza...
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.
Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema...
Kweli akili ni mali, Nguvu kubwa inayotumika na mahujaji wa sanamu ya Rage ili tu kumkomoa na kuvunja record za Yanga, Laiti kama ingekusanywa na kuwekwa pamoja basi Marcel Alliende huyu hapa...
Niko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate
Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAF kulalamikia goli la Aziz Ki kule South Africa,na ishu ya derby ya Simba...
Mashindano hayo yalianzishwa mwaka 1992 na kuigwa kutokana na Kombe la UEFA la Ulaya. Kombe hilo lilipatiwa jina la Moshood Abiola, mfanyabiashara, mchapishaji na mwanasiasa wa Nigeria, na...
Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025.
Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja...
Kuna wachambuzi na wanaharakati uchwara waliowalinganisha wachezaji wazawa na wageni Sasa wanaona aibu
1. Mayele vs George Mpole
Hapa zilitumika nguvu kubwa kumsifu George Mpole
Walitumika hadi...
Hizi habari kuwa Clement Mzize na Feisal Salum wanahitajika au wanaweza kuuzwa Ulaya sijui zinatoka wapi.
Hawa wachezaji wamecheza kwenye ligi ya ndani kwa zaidi ya miaka 5 na walishafika peak...
Leo ndio leo
Baada ya kuona kimya nikaona isiwe vibaya nianzishe
Leo mechi itakuwa uwanja wa bwawani sijui gombani
Kati ya timu tishio duniani ya dae es Salaam young afrika aka nyuma mwiko na...