Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama kuna mchezaji wa afrika mwenye sifa za kucheza na mpira apendavyo basi Mimi ningempa Austin jay jay okocha ni mchezaji wa kiungo pekee ktk bara letu la Africa aliyekuwa na uwezo pekee wa...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Ni half time Sudan 0:0 Taifa stars
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kibadeni anakuwa kocha wa Simba mimi sina kinyongo lakini Kama viongozi wa simba wangekuwa wasikivu wangemuondoa Julio maana hata wachezaji hawamkubali lakini kwa saabu ya mdomo wake na nafasi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba ambao wanamsikia leo wakamuone!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yule supervisor wa kichina wa ujenzi wa uwanja wa taifa amenyongwa nchini china kwa ufisadi alioufanya tanzania. Inshu iko hivi. Huyu kibopa wakati anakuja na jopo lake alidakwa na mkulu mmoja...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Suti mpya sawa, ila tukifungwa tusije kusema kwamba suti zilikuwa zinatubana!
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Nilikuwa natafakari uamuzi wa CECAFA kupeleka kituo mji huo ambapo hakuna AMANI, kama waziri wetu wa mambo ya nje alivotuthibitisha hivi karibuni ulikuwa sawa? Kwa kauli ya waziri Membe naona...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Waziri Membe ametoa kauli hiyo bungeni leo akijibu swali la mbunge aliyetaka kujua usalama wa wachezaji wa tanzania maana Darfur siyo salama kwa wageni hata kidogo kwani wageni wote lazima...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
For arsenal fans Ramsey yupo kenya na alikuwa kwenye Academy ya soka moja hapa Nairobi inaitwa Ligi Ndogo ambapo alipewa jezi nambari 16. He talked of his love for Arsenal, his injury while...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge wa jamhuri ya muungano tanzania kukipiga leo na timu ya NSSF wakishirikiana waandish wa habari mkoa wa dodoma jamhuri unasemaje juu hili
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Nikiwa kama mdau na mpenzi wa soka ningependa kushea mawazo yangu juu ya kikosi changu cha dunia na kupata criticism au support za wadau kwa kikosi hiki. Formation: 4-1-3-2 1. Manuel Neur (B...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wanajangwani lile jembe la Yanga Mrisho Halfan Ngassa leo atatambulishwa kwa waandishi wa habari.Mshahara wake utakua $2000. Wakati huo huo katika kile kilichoonyesha kwa anamapenzi...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Wadhamini wa mabingwa wa Tanzania na A.mashariki na kati TBL leo wamewapa zawadi ya 25M kama ahsante kwa kutwa ubingwa wa Tanzania. Pia imewaahidi zawadi nono endapo watalitetea vema kombe la...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Kwa makumi ya miaka niliyokuwemo DSM, nikiri sijawahi kuhudhuria Mechi uwanjani wala kuangalia mechi si redioni wala luningani na pia huwa nawashangaa watu sana kuwa wapenzi wa mpira. lakini...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&ved=0CDEQqQIwAA&url=http%3A%2F%2Fsports.yahoo.com%2Fnews%2Fbarcelona-messi-top-season-ending-135840668--sow.html&ei=kzGmUe31PNSQ7AbW...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Wakuu hivi sasa ligi za soka (2008/09) zinaelekea ukingoni (ya kwetu Bongo ilishaisha).... Hebu tuchukue muda kidogo na kujikumbusha matukio muhimu yaliyokugusa binafsi....namaanisha labda...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&ved=0CDEQqQIwAA&url=http%3A%2F%2Fsports.yahoo.com%2Fnews%2Fbarcelona-messi-top-season-ending-135840668--sow.html&ei=kzGmUe31PNSQ7AbW...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Ferdinand aongeza mkataba Man-U 23 Mei 2013 16:16...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
WAZEE WA YANGA WATIA UBANI USAJILI MAKINI, WAFICHUA SIRI YA “TUNAZO MILIONI MIA SABA ZA KUENDESHA KLABU” , WADAI NGASSA, NIYONZIMA NI BALAA!! by JOHN BUKUKU on MAY 25, 2013 Mzee Ibrahim...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
jamani wakuu hali zenu kuna mkuu mmoja humu alituwekea link moja ya rusia ni hd kabisa naomba kama bado yupo na anaijua basi atuwekee tena natoa shukrani kwa wote
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…