Wapenzi na wanachama wenzangu wa Yanga; leo watu wazima kidogo tuumbuke. Hawa vijana wa Mbeya City nusura watufunge. Vijana walijiandaa kishirikina, kimazoezi, kishabiki na kisaikolojia. Yanga tulikuwa na ganzi utafikiri siyo Yanga ile ninayoifahamau.