yuko wapi waziri mahadhi bin jabir "mandieta"?

yuko wapi waziri mahadhi bin jabir "mandieta"?

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,137
Reaction score
2,267
huyu jamaa nilikua napenda sana uchezaji wake, mara ya mwisho nilimuona akiwa mnene sana, alirudishwa yanga na mwalimu jack chamangwana akiwa anatoka moro united, jamaa alikua fundi sana
 
Huyu kwa sasa ni Meneja wa timu ya Golden Bush FC inayoshiriki Ligi Daraja la nne, ukienda pale chuo Kikuu asubuhi utamkuta
 
yupo hua namuona magomen,sisi watu wa yanga tukiziona mashine zetu huwa tunapata raha sana japo majeruhi yalikua yanamwandama sana huyu mido
 
Back
Top Bottom