Kwetu-Mbagala
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 203
- 39
Habarini wanaJF
Kwa wale watakaokuwa wanafuatilia timu zetu za SIMBA naYANGA watagundua kuwa, timu zetu hizo HAZINA official flag(bendera rasmi)!Washabiki wa timu hizo wanachojua ni rangi tu za timu hizo na kujitengenezea benderakivyaovyao. Zingine ni za draft, michirizi, nyingine rangi mpauko na nyinginerangi mngao nk.
Hata katika makao makuu ya timu hizo, bendera zinazowekwazimekua zikibalishwa na cha kustaajabisha ni kuwa, bendera hizo wakati mwinginezimekua hazifanani! Hivi kwa nini hivi hazina bendera rasmi?