what is wrong with MAN U?

what is wrong with MAN U?

kelvin complex

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
611
Reaction score
592
Hivi mbona siku za hivi karibuni sielewi tatizo la timu hii lilipo, mana wanajitahidi kumiliki mpira lakini magoli hawafungi kama ilivyokuwa mwanzo au tumekosa wabunifu wa kupiga penetration pass kwa RVP?
 
hivi mbona siku za hivi karibuni sielewi tatizo la timu hii lilipo, mana wanajitahidi kumiliki mpira lakini magoli hawafungi kama ilivyokuwa mwanzo au tumekosa wabunifu wa kupiga penetration pass kwa RVP?

Wewe siyo shabiki wa Man United.

Kwanza, mshabiki wa Manchester United, hawezi kuiita timu yake Man U. Jina hilo ni kejeli na lenye historia mbaya kwa timu. Kejeli hizo zinahusu ajali ya ndege waliyopata Busby's Babes mwaka 1958, Munich Air Disaster. Watu 23 wakiwemo wachezaji na waandishi wa habari walifariki kutokana na ajali hiyo. Sasa timu pinzani kuanzia kwa West Bromwich Albion,zikaja Leeds na Liverpool zikaanza kumake fun out of such a tragic event. Ni Albion ndiyo walioanzisha kejeli hizo kwa kuimba, "Duncan Edwards is manure rotting in his grave, man you are manure rotting in your grave". Edwards ndiye aliyekuwa mtu wa 23 kufariki kutokana na majeraha ya ajali; alifariki akiwa na miaka 21 tu! Hapo neno "Man U" ndio likapatikana.

Kisha wakaja Leeds na Liverpool. Wakaanza kuimba:

"Man U Man U went on a plane. Man U Man U never come back".

Na:

"Man U Never Intended Coming Home" (MUNICH)

Sasa kwa shabiki wa kweli wa Man United, hawezi kamwe kuiita timu yake Man U!! Labda awe shabiki maandazi!
 
Subiri tarehe 22 kwa city ndio utatujua man United tuko vipi,
 
Sikweli kwamba mashabiki wa manchester united hawaiiti man u!wengi wao hawaijui hii historia!
 
glory glory MAN UNITED
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom