Arsen wenger na siasa kwenye soka.

Arsen wenger na siasa kwenye soka.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
“I will walk away if we don’t win this season.” - Arsene Wenger.

kauli hii ni ya kisiasa,WENGER hajaspecify kuwin kitu gani.!

je anamaanisha kuwin EPL,UCL,CAPITAL ONE,FA,TOP 4.?

Kwa kauli hii ameendlea kujiweka salama klabuni hapo..
pengine anamaanisha kuwin against MAN UTD tu.?
 
Huyo Mzee akili imeshafika mwisho WA kufikiri,mbona Fergie amestaafu na akili zake zinachemka bado kichwani.
 
Atakuwa anamaanisha kuwa ndani ya top 4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom