Yaani leo Utopolo wanateseka sana na wanaomba kwa miungu yote.
Leo Mashabiki wa Simba watafurahi sana lakini Mashabiki wa Yanga WATATESEKA SANA
Angalizo:
Sio tu kuingia fainali ila Simba inakuwa...
Katika dunia ya soka, hakuna mechi inayosikika sana, kuvutia mashabiki wengi, na kuwa na mvuto mkubwa kama El Clásico, mechi kati ya FC Barcelona na Real Madrid. El Clásico ni moja ya michezo...
Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja.
Muda huo unafika na kupita ila...
Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na...
TFF chini ya Rais Karia akishirikiana na Bodi ya Ligi wanaenda kuua soka la Tanzania muda si mrefu.
Matukio na maamuzi yanayofanywa katika michezo mbalimbali ya Ligi ya NBC mwaka huu yana kera...
Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya...
👉🏾Asubuhi, redio zinawashwa utasikia "Simba leo wamelala," "Yanga wameng'ara," "Mechi ya marudiano itakuwaje?" Saa nne bado tuko hapo, mchana hadi jioni, sauti za mpira, kamari, na kubeti...
Kimsingi, hauwezi kumuadhibu mtu au taasisi kwa sheria au kanuni ambayo haipo.
Kwenye sakata la derby ya Yanga vs Simba ambalo tumekuwa nalo kwa miezi kadhaa sasa, imetuonyesha mapungufu ya...
Moja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi
Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi?
Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa...
Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja.
Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii...
Ninazo taarifa kuwa Klabu ya Yanga imeandika waraka wa kurasa 174 kwa serikali huku ikitumia wadau wake walioko serikalini. Waraka huo ni mwendelezo ya mashtaka yaliyotupwa na CAS.
Pamoja na hayo...
Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI
NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI
KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE
HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA...
Full time Tanzania 0 - 1 Zambia
Ni siku nyingine tena katika Group A team ya Taifa ya Tanzania U-20 aka Ngorongoro Boys wakikipiga katika uwanja wa Suez Canal na team ya Taifa ya Zambia, kuanzia...
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena...
Kwa jinsi mwamba anavyopambana kwa maslahi ya Simba, ukomavu na uzoefu wake. Na kwa kuwa Sasa tuna CEO wa mpito tu Nadhani hivyo viatu vinamtosha Jemedari.
Indirectly amekuwa ndio mshauri mkuu...
"Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana...