Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

  • Closed
Wakuu inawezekana labda ni kwa upande wangu.Ningeomba muifungue website ya TFF TFF | Tanzania Football Federation Sehem nimeyogundua haraka matatizo ni hizi TFF | Result Hapo utakuta matokeo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naomba mniambie codes za kununulia tiketi uwanja wa Taifa mechi ya leo simba na coastal
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejuzuia sana nisiandike lakini nimeona roho inaniuma sana. Ndugu Kikwete leo asubuhi alikuwepo Morogoro katika shughuli za kikazi na ameahirisha shughuli hizo na atarudi tena kwa kile ambacho...
7 Reactions
94 Replies
10K Views
Michezo raha, Leo nimeikuta hii kijiweni, Eti Okwi mwisho Chalinze habari ya mjini ni Jaja !!!!!!!!! Michezo ndio eneo pekee linalowajumuisha wanadamu wengi pamoja bila kujali dini,vyama,kabila etc
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Mario Balotelli Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo mshambulizi wa Liverpool kutoka Italia Mario Balotelli alitukanwa kutokana na rangi ya ngozi yake kupitia kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SIRI za kushindwa kwa timu ya soka ya taifa kufuzu katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON). Siri hiyo ya kukwama kwa timu ya taifa kwenye michuano ya (AFCON), inadaiwa kutokana na-- hujuma...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
1) Eric Cantona (On receiving an 8 months ban after kicking a fan): "When d seagulls follow d trawler, it's because they think that sardines will be thrown into d sea". 2) Ian Holloway (After...
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Shirikisho la soka la dunia FIFA, limewaambia viongozi wanaounda kamati ya utendaji na viongozi wengine wa juu wa shirikisho hilo kurejesha saa zipatazo 65 za gharama walizopokea kama zawadi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
http://youtu.be/UjsRw0Y6zQI Published on Sep 21, 2014 Top riders in Kenya dominated in all categories, during the third edition of the national...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2014-09-20 17:00 Coton Sport de Garoua 0 - 1 Al Ahly Report 2014-09-21 17:30 Sewe Sport vs AC Leopard Preview
0 Reactions
23 Replies
4K Views
# DATE KO HOME SCORE AWAY STADIUM REPS 2014-09-20 21:00 Entente Setif 2 vs 1 TP Mazembe Report 2014-09-21 16:30 As Vita (v Club) vs Cs Sfaxien Preview
0 Reactions
1K Replies
128K Views
MFARANSA Patrick Liewig anatarajiwa kuchukua nafasi ya Mhindi, Vivek Nagul aliyeachia ngazi katika akademi yaAzam FC ya Dar es Salaam. Katibu wa Azam FC, Nassor Idrissa Mohamed 'Father’ amesema...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
wizara ya utamaduni na michezo moja kwa moja inashiriki kuhalibu maadili ya watoto kuruhusu mambo ya fiesta kufanyika hadi usiku pombe kurusiwa na kufanyika kwenye viwanja vya mipira eti kampuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona ndugu zetu wa Kenya wanameanza kampeni mapema... cc: Jamal Malinzi Ndugu wadau, mwisho ni tarehe 30/09/2014, nchi zilizokwishatuma maombi ni "Kenya, Algeria, Ethiopia, Ghana, Mali na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndio, hakuna namna nyingine unayoweza kuelezea soka la sasa zaidi ya hii, Ni katika kipindi hichi ambapo inawezekana kumuona Luke Shaw akiwa na miaka 19 tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu Jamaa mimi namkubali sana! Hapo akiwa Azam! Enzi zake!
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Season: 2014-2015 Saturday 20 September 2014 LIVE 12:45 QPR v Stoke Loftus Road Stadium This fixture was previously scheduled on Saturday 20 September 2014 at 17:00 but was rescheduled...
0 Reactions
89 Replies
17K Views
leo nimeona kwenye gazeti moja kuwa kibali cha okwi kimechelewa kutoka uhamiaji tunamsubiri msemaji wetu wa simba G nyange a k a kaburu atatuelezaje maana huu ni uzembe wa viongozi kutowasilisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…