mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
leo nimeona kwenye gazeti moja kuwa kibali cha okwi kimechelewa kutoka uhamiaji tunamsubiri msemaji wetu wa simba G nyange a k a kaburu atatuelezaje maana huu ni uzembe wa viongozi kutowasilisha maombi mapema uhamiaji