Okwi mwisho Chalinze

Okwi mwisho Chalinze

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Posts
5,472
Reaction score
5,409
Michezo raha,
Leo nimeikuta hii kijiweni, Eti Okwi mwisho Chalinze habari ya mjini ni Jaja !!!!!!!!! Michezo ndio eneo pekee linalowajumuisha wanadamu wengi pamoja bila kujali dini,vyama,kabila etc
 
Huyu jaja mtamkataa tu,mambo yatapoenda kombo tunawajua yanga mlivyo vigeugeu.
 
Okwi hana lolote,joka la kabisa.
 
Nasikia ss hv hadi huko chalinze habari ni jaja tu,okwi mwisho mikumi huko kwa wanyama
 
Huyu jaja mtamkataa tu,mambo yatapoenda kombo tunawajua yanga mlivyo vigeugeu.
Sio Jaja tu, wala siyo Yanga tu. Mwanadamu yeyote hapendi kunasibishwa na asiyefanya vyema. Hata Wajerumani wanamkataa Hitler ingawa aliingia madarakani kwa kura zao wenyewe!
 
Kwani Logarusic yuko wapi , brandits ,Julio alitoka mara ngapi na kurudi , Minziro vilevile , kawaida watu tunataka mafanikio tuuu na sio vinginevyo !
 
Ushabiki usio na mantiki,

Okwi na Jaja huwezi kuwafananisha hata mara moja,

Okwi anatafuta mipira, anakaba,anapiga chenga ,anakimbiza kwa kasi na anafunga magoli Jaja anasimama tu anavizia awekewe mguuni.

Tegete, Hussein Javu na Kiiza ni wazuri zaidi yake, ni kweli Yanga watamkataa tu.
 
Ushindwe na ulegee kabisa.
 
Nakuunga mkono 100%, Okwi yuko vizuri sana. Hapa labda wamlinganishe Jaja na Betram Mwombeki, tena hata hapa Mwombeki anaonekana bora sana, mana anakabaka, anapiga mashuti, anamishemishe anapokua au hana mpira tofauti na Jaja anayekaa golini kama mlingoti akisubiri aletewe mpira miguuni. Labda Jaja na Aly Shibori hapa ndo kutakuwa na mchuano mkali.
 
Ushabiki usio na mantiki,

Okwi na Jaja huwezi kuwafananisha hata mara moja,

Okwi anatafuta mipira, anakaba,anapiga chenga ,anakimbiza kwa kasi na anafunga magoli Jaja anasimama tu anavizia awekewe mguuni.

Tegete, Hussein Javu na Kiiza ni wazuri zaidi yake, ni kweli Yanga watamkataa tu.
hivi Drogba yeye anachezaje? Drogba bana Ni hodari wa kupiga chenga,kukimbia anatafuta mipira mwenyewe,anakaba,anatafuta mipira mwenyewe, anakimbiza kwa kazi sana na anafunga magori. Mpira magoli, hata mkijifunga wenyewe timu pinzani inashinda. Pamoja na kusimama kwake na kuvizia Jaja alipiga mbili.
 
Saaafi sana mkuu nimekukubali 100%....Jaja ndo habar ya mjini
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Msemaji wa mtibwa amesema leo watamkomesha JAJA.. hapa naamini kwamba mabeki wote watahamia kwake na kuwaacha ngasa, msuva wakipiga magoli halafu baadae wamlaumu mwamuzi!
 
Ushabiki usio na mantiki,

Okwi na Jaja huwezi kuwafananisha hata mara moja,

Okwi anatafuta mipira, anakaba,anapiga chenga ,anakimbiza kwa kasi na anafunga magoli Jaja anasimama tu anavizia awekewe mguuni.

Tegete, Hussein Javu na Kiiza ni wazuri zaidi yake, ni kweli Yanga watamkataa tu.

Endapo Okwi atarudi form yake, itakuwa balaa maana atamtengea sana Tambwe. Jaja naye anaonekana ni mmaliziaji mzuri, hivyo tusubiri burudani TPL.
 
Back
Top Bottom