Huenda itaendeshwa kikampuni zaidi na wanachama watauziwa hisa na kuimiliki namna hiyo.....Kwani Azam ni timu ya wanachama? Viongozi wake wanachaguliwa kwenye mkutano wa wanachama? Upi? Au ndiyo inataka kuwa? Kama ndio, utofauti wao na Yanga na Simba utakuwa wapi? Yetu macho.
Mkuu Mphamvu, hakuna benki ninayoichukia kama NMB, kwa kunitaja tu, umeniharibia siku yangu.
tehe tehe tehe tehe! Makoye Matale wewe ni chuki chuki tu! chuki zako kwa azam sasa umezihamishia na kwa NMB?
Sio lazima kuamili mfumo huu wa wanachama wa Kariakoo, ambao wanaweza kumtoa kiongozi madarakani kwa marungu na mapanga. Kuna namna za kuwafanya wanachama wajihusishe na timu bila kuleta mwanya wa vurugu. Namna bora ni kudhibiti mipaka yao ya maamuzi kuanzia kwenye katiba ya timu.Kwani Azam ni timu ya wanachama? Viongozi wake wanachaguliwa kwenye mkutano wa wanachama? Upi? Au ndiyo inataka kuwa? Kama ndio, utofauti wao na Yanga na Simba utakuwa wapi? Yetu macho.
1. Sio lazima kuamili mfumo kama wa Kariakoo, sawa. Lakini ni lazima kuamili mfumo. Nimeuliza: huo mfumu ni upi?Sio lazima kuamili mfumo huu wa wanachama wa Kariakoo, ambao wanaweza kumtoa kiongozi madarakani kwa marungu na mapanga. Kuna namna za kuwafanya wanachama wajihusishe na timu bila kuleta mwanya wa vurugu. Namna bora ni kudhibiti mipaka yao ya maamuzi kuanzia kwenye katiba ya timu.
Timu za ulaya huwa zinasajili wapenzi, na huweza kuwa na hadhi fulani katika timu bila kuingilia maamuzi makuu ya wanahisa.
Kama ni hivyo, kungeanza na ukampunishaji ndio ukafuatia usajili. Bila ya hivyo ni dhana tu, ambayo haipaswi kuwa sifa ya timu inayolazimishwa na wapenzi wake kuwa ndiyo ya mfano nchini. Timu makini haiwachi wafuasi wake wakabaki na 'huenda ita...'Huenda itaendeshwa kikampuni zaidi na wanachama watauziwa hisa na kuimiliki namna hiyo.....
Kwani Azam ni timu ya wanachama? Viongozi wake wanachaguliwa kwenye mkutano wa wanachama? Upi? Au ndiyo inataka kuwa? Kama ndio, utofauti wao na Yanga na Simba utakuwa wapi? Yetu macho.
Kama ni hivyo, kungeanza na ukampunishaji ndio ukafuatia usajili. Bila ya hivyo ni dhana tu, ambayo haipaswi kuwa sifa ya timu inayolazimishwa na wapenzi wake kuwa ndiyo ya mfano nchini. Timu makini haiwachi wafuasi wake wakabaki na 'huenda ita...'