Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni.
Kwa msingi huo...
Hakuna namna au miujiza ya kuifunga Barken. Nawaomba viongozi wangu wa Simba wakubali tu kwenda kucheza Zanzibar game ya marudiano. Hatutapata aibu kama itakavyokuwa kwenye uwanja wa Mkapa...
Kwa kuomba Kipindi Cha pili ya lipatikane goli na yasivuke matatu.... Woooi .... Angali mechi ya Marseille ..alipata 3 ... Nakaza mbupu ..mechi ya Lugodorets..mechi ya Rakow ...mechi ya Marseille...
Nahis hamkumuelewa Msemaji Ahmed Ally...simba leo wanapima upepo wakila goli 3 kwenda Juu watakua willingly kucheza Aman ila ikitokea ni goli Moja au Mbili kafungwa watalazimisha hata serikali...
Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle 💪 kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno
Simba hajapata mechi ngumu. Mechi ngumu ndo hii ya final
Nina...
Yaani wajitahidi wafungwe angalau 3 tu maana inaonekana kuna baos 5.na mbinu pekee ya kuwasaidia ni kukabia juu sana. Wakakabie katika goal la Berkane kabisa.
Yaani Simba wakakabe hasa lango mwa...
Toka simba acheze aya mashindano leo ndo kapata kipimo sahihi, na pia kagoma na ngoma wanatakiwa wa level up game yao wapo slow , sio creative, deffencesively kagoma ana cheza faul nyingi sana...
serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF!
Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar.
Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika...
Hatimaye kwa mara ya kwanza hii leo klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kushinda taji lake kubwa la kwanza baada ya miaka 119 ya msoto kupita tangu klabu hiyo ianzishwe.
Crystal Palace imetwaa...
Kwa timu za soka letu la Tanzania, ni nadra sana kukuta timu mbili zote zimefuzu kwenda hatua kubwa za mashindano ya vilabu Afrika.
Kwa waarabu(Morocco,Algeria na Egypt) ni kawaida sana, unakuta...
Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII
Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani
KATIKATI Pia kutakuwa na...
Kwanini??, sina taaluma ya coaching ila kwa akili ya kawaida ya kimpira kama umefanikiwa kurejea mechi mbalimbali za hawa RS BERKANE utakubaliana na mimi ni wabovu mno kwenye SET PIECES/free...
Kila mtu anaamini katika Imani yake.
Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake.
Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu.
https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/...
Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tangu Mwaka 2000
2025: Simba / Berkane ?
2024: Zamalek SC (Misri)
2023: USM Alger (Algeria)
2022: Berkane (Morocco)
2021: Raja Club Athletic (Morocco)...
Usia wa Mohamed Mwameja kwenda kwa Simba kupitia kwa Mohamed Husein,kwamba wakaze na wacheze kwa moyo na nidhamu.
https://www.facebook.com/share/r/1CCPnYjL7P/
Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa!
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano...
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar.
Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa...