Ratiba ya mzunguko wa 2 Wa ligi kuu bara imetoka, haji manara kapigiwa simu na kituo maarufu cha mochezo cha redioni, kasema
"TFF wasipofanya mabadiliko ndani ya mwezi atatembea uchi"
ZIFUATAZO NI HASARA ZA KUBET
1. Unadumaa akili unashindwa kuwaza vitu vya maana vyenye kuleta pesa ya uhakika isiyo na mawazo.
2. Ni rahisi sana kupata magonjwa ya moyo ikiwemo presha, kwa wale...
Sijui aliyesema lakini ni maneno ya busara sana. Kasema nini aliyesema? Kasipo na wivu hapana mapenzi!!!
Mbona nasema haya? kila kukicha naangalia pandashuka za wasanii wa mji wangu wa Malindi...
Pambano la Cheka limeanza muda huu kupitia channel Star Sports 1 limengia kwenye raundi ya tatu. Cheka anajitahidi sana. Watu wamejaa sana mithili ya watazamaji wa Yanga na Simba. Tumpe sapoti.
SIMBA SPORTS CLUB
D'SALAAM, TANZANIA
14/12/2016
*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*.
Klabu ya Simba inapenda kutangaza marekebisho madogo ya usajili iliyoyafanya kutokana na...
Kumekuwa na mategemeo makubwa sana kwa hawa ndugu zetu 'Mikia' ya kuwa wanaweza kuchukua Ubingwa.
Lakini kuna vikwazo vikuu 3 ambavyo wanapaswa wavivuke kwa namna yeyote. Kushindwa kuvivuka hivi...
Full Time | Kagera Sugar 2 - 6 YoungAfricans
90' Mins | sasa, hakuna kipya, timu zinaonyesha kucheza zaidi katikati ya uwanja, Yanga wakiwa wameridhika huku Kagera wakionekana kuwa wamekata tamaa...
SUPASTAA wa Tanzania, Mbwana Samatta ameikosa Manchester United katika hatua ya mtoano ya 32 bora kwenye Europa League baada ya kikosi chake cha Genk kupangwa kuchuana na Astra Giurgiu ya Romania...
Yanga imefanikiwa kupitisha jina la mshambuliaji wa zamani wa Zesco, Winston Kalengo.
Kalengo ametua Yanga baada ya jina lake kuwasilishwa katika nusu saa ya mwisho kabla ya dirisha ya usajili...
Kuna kipindi huwa nacheka tu. Pale nionapo Usajili wa kukurupuka unaofanywa na Klabu ya Simba.
Najiuliza ni nini huwa wanafikiria hasa pale wafanyapo usajili wa wachezaji wapya.
Tatizo kubwa...
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko akizungumza na Wafanyakazi wakati wa kufungua michezo ya Bandari ambayo imeanza kutimua vumbi jijini Tanga Disemba 15 katika viwanja vya 'Harbors...
Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani Fifa Linaendelea Nchini Japan,Huku Afrika ikiwakilishwa na Mabingwa wa Afrika MAMELODI SUNDOWNS kutoka Afrika Kusini.
Wawakilishi Hawa wa Afrika...
The government in DR Congo has told the country's football association to suspend league competition from Thursday until further notice.
The move comes amidst fears that the end of President...
Viongozi wa Klabu ya Simba nawaomba mzingatie Ushauri uliotolewa Na Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Alhaj Rage Juu ya kupeleka suala la Klabu 6a Yanga wa Kimataifa ya kusafiri , kumchezesha mchezaji...
Unaliwa 4-0na mtu anayekaribia mstari wa kushuka daraja
Karibu epl wanasemaga sio ligi bora ila zile mbili ulizozoea kila weekend kupiga watu 6 na 5 hapa unapigwa wewe hahahahaha
Ikicheza Soka la Ki-Barcelona Yanga imepoteza mechi yake ya kwanza chini ya Kocha George Lwandamina.
JKU ya Zanzibar ndiyo iliyoitia njaa Yanga kwa kuichapa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki...
Mda huu inapangwa draw ya UEFA hatua ya mtoano (Knock Out Stage)
Timu zilizokua kundi moja haziwezi kukutana
Timu za Nchi moja haziwezi Kukutana katika hatua hii
Waliongoza Makundi hawawezi...
Arsenal wamepoteza nafasi ya kukaa kileleni mwa ligi kuu ya England baada ya Everton kutoka nyuma na kuondoka na ushindi wa 2-1.
Washika bunduki hao walishinda michezo mitatu mfululizo walianza...
(Cosmopolitan Concepts – Redefining the art of living)
Wanasema leo wamepiga hatua moja mbele, nasema very good! Bila baraza la wadhamini wa Club (nadhani katiba yao inaruhusu) Mwaka huu tumekuwa...