UEFA Champions League Draw

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
Mda huu inapangwa draw ya UEFA hatua ya mtoano (Knock Out Stage)

Timu zilizokua kundi moja haziwezi kukutana

Timu za Nchi moja haziwezi Kukutana katika hatua hii

Waliongoza Makundi hawawezi Kukutana katika hatua hii

Washindi wapili katika magroup hawawezi kukutana katika hatua hii

Ninachokiona inaweza kuwa

Arsenal Vs Real Madrid au
Arsenal Vs Bayern Munich

Tukiwa tunaendelea kusubiri nini maoni yako mwana Jamii Forums? Nitakua naa Update Uzi.

UPDATE
-----------------------------------------------------------------------


IMG_20161212_143242.jpg



CHAMPIONS LEAGUE LAST-16 DRAW


Man City v Monaco

Real Madrid v Napoli

Benfica v Borussia Dortmund

Bayern Munich v Arsenal

Porto v Juventus

Bayer Leverkusen v Atletico Madrid

PSG v Barcelona

Sevilla v Leicester



UEFA EUROPA LEAGUE DRAW

PAOK vs Schalke

Hapoel Beer Sheva vs Besiktas

AZ Alkmaar vs Lyon

Borussia Monchengladbach vs Fiorentina

Krasnodar vs Fenerbahce

Rostov vs Sparta Prague

Gent vs TOTTENHAM HOTSPUR

Olympiacos vs Osmanlıspor

Celta Vigo vs Shakhtar Donetsk

Ludogorets vs Copenhagen

Villarreal vs Roma

MANCHESTER UNITED vs Saint-Etienne

Astra Giurgiu vs Genk

Anderlecht vs Zenit

Legia Warsaw vs Ajax

Athletic Bilbao vs Apoel
 
Kwenye options ya tutakaokutana nao cc Arsenal tunaombea tupangwe na Real Madrid au Bayern ili tunyoshe m2 coz mazoea yamezid
 
Yani Arsenal hawana bahati kabisa!
Wakiwa wapili katika group obvious hupangwa na mbabe na safari huishia hapo.
This time kajikongoja walau kaongoza kundi lakini bahati mbaya vigogo wa ulaya wako nafasi ya pili teyari kummeza wenger

Itapendeza zaidi safari ya wenga ikiishia hapa!

Arsenal v Real madrid

OVA
 
Arsenal club kubwa, chama langu kipenzi.
Katika timu zote why inaongelewa Arsenal peke yake?
Attention kubwa ni kuona Arsenal atapangiwa nani katika hatua ya mtoano. (Na hii ni kila mwaka)

Yeyote tutakayepangiwa kukutana na sisi ana bahati mbaya.
Mwaka huu tumeamua,kikombe kikubwa ni lazima.
COYG
 
Yani Arsenal hawana bahati kabisa!
Wakiwa wapili katika group obvious hupangwa na mbabe na safari huishia hapo.
This time kajikongoja walau kaongoza kundi lakini bahati mbaya vigogo wa ulaya wako nafasi ya pili teyari kummeza wenger

Itapendeza zaidi safari ya wenga ikiishia hapa!

Arsenal v Real madrid

OVA
Baada ya kichapo kutoka kwa Bournemouth na sare jana, basi mmekali majungu tu dhidi ya Arsenal. Kwani Liverfool yeye kapangwa na nani?

Kwa taarifa yako, Arsenal na Real Madrid zimewahi kukutana mara mbili tu, mechi ya moja tukiwachapa moja bila (bao la Thiery Henry) na ya pili wakipuruchuka na kuambulia sare. We walete tu, tupo kikazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom