Wakuu,
Imebidi kutafuta msaada wenu kufahamu ni vigezo gani vinatumiwa na TFF (shirikisho la soka) kupanga mechi za timu za Simba na Yanga kuchezwa mchana tu. Mpaka sasa timu takribani zote...
Nimejaribu kuangalia kwa Umakini hawa Wachezaji wetu kwa sasa,upigaji wa penalti umekua Shida sana kwao na wengi wanabahatisha tu sijui hakuna mazoezi ya kupiga penalti siku hizi
Pale Yanga yupo...
Jumla kuu 10-2,Kwetu 5-1 kwao 1-5,Kuna ulazima wa kuhakiki vyeti vya huyu mzee sio kwa mwendo huu.Na wale mashabiki wake hawachelewi kuingia na Mabango game ijayo MZEE OUT,
Huku kwetu wameanza...
Kwa wale wapenzi wa Mpira kama mimi kuna Channel ndani ya kisimbuzi cha Azam inaitwa UBC inaonesha Mubashara UEFA
Now SEVILLA 1 LEICESTER CITY 0
Furahia mdau wa soka
Habari za jioni?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza faida na hasara nilizopata katika betting,nilianza kubet mwaka 2010 Tangu nianze kubet mpka sasa nimepata faida ya mil23.
Siku ya kwanza...
Club ya chelsea jana imezidi kujiimarisha kileleni mwa ligi kuu ya nchini uingereza baada ya kuinyuka west ham goli mbili kwa moja na kuendelea kuwa tishio kwa timu zenye matumaini ya kuikamata...
Hivi karibuni chama cha soka Tanzania kiliufunga uwanja wa Jamhuri wa Morogoro kuwa haufai kuchezewa mechi za ligi kuu Tanzania bara.Mashariti waliopewa ni kuufanyia marekebisho ili uwe katika...
Mheshimiwa Lema bana!
Eti ameniuliza ameingia jela Desemba hadi anatoka Machi bado man United ya sita, ligi ilisimama au?
Mi nimemwambia nitamjibu ngoja nimalize kazi!
:D:D:D:D:D:D
Bondia aliyejizolea umaarufu mkubwa dunia kwa kutowahi kupigwa hata mara moja katika mechi zote alizocheza mr Floyd Mayweather amesema kuwa mechi ya tarehe 23/4/2017 kati ya mphilipino Manny...
Yanga abanwa mbavu na mtibwa alazimishwa sare ya kutofungana abaki nyuma ya simba kwa point mbili yanga wanatakiwa kujilaumu wenyewe baada ya msuva kukosa penati ambayo ilipaa juu ya lango sare...
Hatimae bodi ya klabu ya Arsenal imekamilisha mazungumzo Na kocha wa klabu ya Juventus ya Italia Juu ya kumpata kocha wake Massimiliano Allegri, mara baada ya msimu huu wa ligi kumalizika.
Kocha...
Tony Bellew beats David Haye with 11th-round stoppage
By Luke Reddy at London's O2 Arena
Bellew has now won 29 of his 32 fights
Missed the fight?
Listen to a repeat of the commentary every hour...
Leo kulikuwa na mechi ya Simba vs Yanga lakini nilichostaajabu mimi Kelvini Yondani kuwa aliwaka sana sasa sijajua hizo lawama zilikuwa zinamwendea nani?
Kichuya au kwa wale wenye kutafsiri...
Huu ni muendelezo wa utovu wa nidhamu ambao unaoneshwa mara nying Na wachezaji wa Kigeni na pia hata wa ndani. Huu ni udhaifu ambao unaendelezwa saba na wachezaji wa kiafrika.
Sikatai madai yake...
Habari za asubuhi wana JF,
Mimi ni mdau wa michezo, na ninaipenda sana Simba SC.
Katika harakati za kuijenga timu, mwaka jana uongozi wa klabu yetu ulimsainisha Joseph Marius Omog kuwa kocha mkuu...
Katika hali ya kushangaza wakati timu ya Simba ikitaabishwa na Mbeya City uwanja wa taifa hapo jana afisa habari wa timu hiyo Haji Manara na meneja wa timu Musa Mgosi walikua bize na karibu kabisa...