David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,819
- 5,771
Habari za jioni?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza faida na hasara nilizopata katika betting,nilianza kubet mwaka 2010 Tangu nianze kubet mpka sasa nimepata faida ya mil23.
Siku ya kwanza kubet nilibahatika kushinda mil 12 nikanunua shamba Mlandizi na nikafungua pharmacy home K/njaro.
Baada ya hapo ikapita miaka 2 sikuweza kushinda ata sh mia hasara niliyopata ni mil 2.
Mwaka 2013 nilianza na nyota nikashinda mil 7 nikawanunulia wazee kijiji vifaa vya shambani plau na jenereta ya umwagiliaji pamoja maksai.
2014 nilikuwa nashinda pesa za kawaida tu kama laki 1,2 na pesa za mboga tu.
Mwaka2015 nilipata mil 6 nimenunua shamba heka 2 tanga Lushoto na pikipiki moja aina ya boxer.
Mwaka huu 2016 nashinda pesa za kawaida tu.
Hasara nilizopata ni mil 3 tu.
Leo nimeweka mkeka wa laki 2, madrid win na hull city win.