bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Nimejaribu kuangalia kwa Umakini hawa Wachezaji wetu kwa sasa,upigaji wa penalti umekua Shida sana kwao na wengi wanabahatisha tu sijui hakuna mazoezi ya kupiga penalti siku hizi
Pale Yanga yupo Msuva ila naye Sio mzuri Kivile,Champion Boy Sammata naye aliwahi kupiga Penalti ya mwendokasi game na Misri.
Kwa kizazi cha sasa mchezaji gani mtaalamu wa kupiga penalti??