Kwanini Kelvin Yondani?

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Leo kulikuwa na mechi ya Simba vs Yanga lakini nilichostaajabu mimi Kelvini Yondani kuwa aliwaka sana sasa sijajua hizo lawama zilikuwa zinamwendea nani?

Kichuya au kwa wale wenye kutafsiri vizuri wale wataalamu wa kuona matukio vizuri mimi sikuelewa kabisa huyu Kelvin vipi?
 
dante alikuwa tatizo pia poor marking ,hata dida goli la pili ni uzembe wake kipa makini nadra sana kufungwa kwenye angle unayo iamini alafu mpigaji akiwa umbali ule
 
Pale wachezaji wengi wamechoka na kubeba ligi kuu sio kitu cha kushangaza kwao ndo mana wanacheza kutmiza majukumu yao sio kwa shauku ya kutaka ubngwa.. Kmcng wengi wao hawana hamu na mpira wange punguza wachezaji kama niyonzima, tambwe, Zulu, na kuongeza wachezaji wengne vjana wenye kasi na njaa ya ubngwa hao waliop hawaon jpya lbda klabu bngwa
 
Wakuu dida mtamlaumu bure tu lile goli la kichuya hata degea goli kipa bora asingedaka yale magoli kwenye sayari hii ni machache sana watu wenye makengeza ndio wanafunga huyo dida kama hampendi mwondoeni tu hapo yanga lakini angalia vizuri hilo goli yani bonge la goli bwana
 
dante alikuwa tatizo pia poor marking ,hata dida goli la pili ni uzembe wake kipa makini nadra sana kufungwa kwenye angle unayo iamini alafu mpigaji akiwa umbali ule
Wewe chini ,acha unazi
 
Attachments

  • VID-20170226-WA0016.mp4
    1.5 MB · Views: 19
dante alikuwa tatizo pia poor marking ,hata dida goli la pili ni uzembe wake kipa makini nadra sana kufungwa kwenye angle unayo iamini alafu mpigaji akiwa umbali ule
Hiyo wanaita anakotagia kuku dida utamlaum tu tim nzima ilipwaya simba walipiga mwingi utazan yanga ndo walikua pungufu
 
Kwa sisi wasakata kabumbu hilo ni swala la kawaida maana kuna saa Viungo wanaboronga na kusababisha mzigo kukulemea wewe tena ukitegemea ile ni game Kubwa.
 
Back
Top Bottom