DSTV kuonyesha fainali za AYC

jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,975
4,264
Mechi za fainali za Vijana Africa chini ya miaka 19 zitaonyeshwa mubashara na DSTV.
Mechi hizo zitaonyeshwa kupitia Channel 209, channel 233 hii ina maana kuwa sasa tutaona Mechi za Serengeti Boys live.
 
Umesahau kutuambia ni Kifurushi cha Tshs19,975.
 
Hivi wa kwetu ni U17 ama U19! 19 Si ngorongoro heros jamani!? Ila walioko Gabon ni U17 kama sijakosea ambao ni Serengeti Boys.
 
vipi kuhusu sisi watumiaji wa star times? tutaona kwa channel gani?
 
Back
Top Bottom