Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Namuona mpenzi wa Yanga uwanjani akiwa kabebwa kwenye machela baada ya Simba kufunga goli!Nyie Yanga wanga kweli!
0 Reactions
6 Replies
872 Views
"Aende lakini atakuja kukumbuka Azam wamemfanyia mambo mangapi katika maisha yake!" Boko ni sawa na Santiago Bernabeu wa Real Madrid, alitakiwa amalizie mpira wake palepale kwenye kwenye...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kila nikisikia Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji akisema anajiuzuru Yanga huwa nawashangaa mno Wana Yanga wanavyoanza kupepesuka huku wakitaka kumlamba hadi Miguu na kumnyenyekea. Sidhani...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kila mwenye macho ameona kitendo walichofanya Simba cha kususia zawadi ya mshindi wa pili na huku mchezaji akipotea zawadi ya mchezaji bora ikiwa inatoka kwa mdhamini yule yule Je ndo kusema...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Rufaa ya Simba FIFA itaamuliwa lini hadi Yanga isubiri hukumu ya FIFA kupewa kombe? VodaCom nao ni wanafanyabiashara hawawezi kuendekeza kusubiri ushindi wa mezani kutoka FIFA ambao haujulikani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
[https://2] Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, Mei 24, mwaka huu alituma ujumbe Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuipongeza Young Africans ya...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Tarehe 7/05/2017 alifiwa na mke wake kipenzi Taazia: Ibrahim Ajib afiwa na mkewe Leo amefunga ndoa ,hatimaye amepata Mke mpya wa kumliwaza
4 Reactions
32 Replies
10K Views
WanaYanga wote pale mlipo najua mko kwenye sherehe za Ubingwa hongera sana.Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji ameamua kujiuzulu.Manji aliahidi angekarabati Majengo ya Klabu Na Uwanja wa Kaunda...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na kuwa baadhi ya wamiliki wa kampuni yao kuwa walishafanya biashara za bahati nasibu na zikafilisika. Pia wengine kuandikwa kwenye magazeti ya Kenya wakituhumiwa kuhusika na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kijana wa Kibrazili bado mdogo tu miaka 27 kwa sasa akiwa na pacha wake Rafaeli,hawa wote wakiwai kukipiga pale Old Trafford chini ya Sir Alex Ferguson. Fabio Bana mpira wa miguu umekua hauna...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ilikuwa kombe la dunia 2006 Hapa ni namna wajerumani walivyoona Hapa ni namna Wafaransa walivyoona Hapa ni namna waitaliono walivyoona Hapa ni namna wamarekani walivyoona Na hivi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Everton will become the first ever English Premier League team to play in Tanzania when they go there for a pre-season friendly. The match will be played at Dar-es-Salaam's National Stadium on 13...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Simba wanasubiri embe chini ya mnazi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KIUNGO wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya nchi yake kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019 dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hongera sana Rais wa TFF Shabiki mkubwa wa Yanga.Tunakupongeza Kwa kumtaarifu Rais wa FIFA Juu ya klabu yako ya Yanga kutwaa Ubingwa wa Tanzania bara.Tunakuomba uzidi kuitangaza Yanga Kimataifa zaidi.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais wa Fifa naipongeza Yanga fc kwa kuwa mabingwa
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Njaa inanukia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Manchester United wameshinda fainali ya Kombe la Europa kwa kuifunga Ajax Amsterdam kwa mabao 2-0 mjini Stockholm Sweden. Magoli ya Paul Pogba na Hendrick Mkhitaryan yameipa United sio tu Kombe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
This season is the third in which the winners of the UEFA Europa League will gain automatic entry into the UEFA Champions League. Manchester United enter 2017/18 UEFA Champions League group...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…