bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
kijana wa Kibrazili bado mdogo tu miaka 27 kwa sasa akiwa na pacha wake Rafaeli,hawa wote wakiwai kukipiga pale Old Trafford chini ya Sir Alex Ferguson.
Fabio Bana mpira wa miguu umekua hauna bahati naye naye amekua hana bahati nao
Kwanini??Pale old Trafford aliondoka akaenda QPR(Queen Park Rangers) ikashuka daraja.
Akaenda timu ya Cardiff City nayo Ikashuka daraja.
Msimu ulioisha kakipiga katika Kilabu cha Middlebrough nayo imeshuka Daraja.
Pole sana kijana Mwenzetu ila atafutaye hachoki akichoka amepata ipo siku utapata Timu na utatulia.