Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
WanaYanga wote pale mlipo najua mko kwenye sherehe za Ubingwa hongera sana.Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji ameamua kujiuzulu.Manji aliahidi angekarabati Majengo ya Klabu Na Uwanja wa Kaunda lakini Ameshindwa Kwa miaka 10 ya Uraisi wake.Alichofanikiwa ni kuwaachia Ubingwa Na Swimming Pool ya kisasa hilo tunampongeza.Tunawashauri wana Yanga mwacheni Manji apumzike kama alivyoomba .