Mzee El-mamry jipunzishe tu

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,428
13,936
Rufaa ya Simba FIFA itaamuliwa lini hadi Yanga isubiri hukumu ya FIFA kupewa kombe? VodaCom nao ni wanafanyabiashara hawawezi kuendekeza kusubiri ushindi wa mezani kutoka FIFA ambao haujulikani lini utapatikana.

Waulize Simba kwanini walishindwa kuzilinda point zao 8 za uwanjani lakini sio kuhoji kwanini zawadi zinatolewa haraka
 
Agombee uenyekekiti wa Mikia awaonyeshe jinsi ya kuchukua ubingwa kivitendo kama anadhani ni rahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom