Nina mashaka na wadhamini wapya premier league games hapa Tz

Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,316
752
Hii ni kutokana na kuwa baadhi ya wamiliki wa kampuni yao kuwa walishafanya biashara za bahati nasibu na zikafilisika. Pia wengine kuandikwa kwenye magazeti ya Kenya wakituhumiwa kuhusika na Ufisadi na Kama inavyoonekana kwenye baadhi ya taarifa hizi
 
Sport pesa wameingia mkataba na
Arsenal
Southampton
Hull city
La Liga

Huo wasiwasi wako unatoka wapi?
 
@ Moods! nliweka na links zenye ku-support hoja yangu. Mbona mmezitoa?
 
Sport pesa wameingia mkataba na
Arsenal
Southampton
Hull city
La Liga

Huo wasiwasi wako unatoka wapi?

Who Owns SportPesa? Here Is A List Of The Owners (PHOTOS) - Naibuzz

Sportpesa tycoon among owners of firms at the centre of Sh5.3b theft at Afya House

EXPOSED:SPORT PESA OWNERS ARE DANGEROUS MAFIAS KENYANS SHOULD BE AFRAID OF…….SEE SHOCKING DETAILS!! | IndulgeKenya254

Unapokutana na habari km hizi kutoka Vyombo vya nchi husika na wewe shirika km hilo ndio limeingia mikataba kwenu, tena kwenye vilabu ambavyo wanachama wake hawajui contents zake zina masharti gani na usalama wake ni nini?
 
Una uwezo wa ku verify hizi taarifa?
 
Una uwezo wa ku verify hizi taarifa?
Ningekuwa na uwezo huo nisingetafuta kujuzwa na kuondolewa hofu yangu baada ya kusoma hizo taarifa kwenye link nlizoambatanisha hapo. Ninaloomba nisaidieni kujua, kwani najua JF hapashindikani kitu na mgeni ndio keshaingia kwetu tumempokea.
 
Mamlaka za Kenya wangeifungia hiyo kampuni.
Uwe na amani..
 
Hii ni kutokana na kuwa baadhi ya wamiliki wa kampuni yao kuwa walishafanya biashara za bahati nasibu na zikafilisika. Pia wengine kuandikwa kwenye magazeti ya Kenya wakituhumiwa kuhusika na Ufisadi na Kama inavyoonekana kwenye baadhi ya taarifa hizi
KATUMWA NA WAHINDI HUYU WAMBIEE KWAHERI ATUWAOMBI TENA
 
Who Owns SportPesa? Here Is A List Of The Owners (PHOTOS) - Naibuzz

Sportpesa tycoon among owners of firms at the centre of Sh5.3b theft at Afya House

EXPOSED:SPORT PESA OWNERS ARE DANGEROUS MAFIAS KENYANS SHOULD BE AFRAID OF…….SEE SHOCKING DETAILS!! | IndulgeKenya254

Unapokutana na habari km hizi kutoka Vyombo vya nchi husika na wewe shirika km hilo ndio limeingia mikataba kwenu, tena kwenye vilabu ambavyo wanachama wake hawajui contents zake zina masharti gani na usalama wake ni nini?
Yawezekana una point ama hauna point pia.
HIVI UNAJUA MASHARTI YA KUWA MWEKEZAJI KWENYE ENGLISH PREMIER LEAGUE!?...
 
My concern ni Premier League ya hapa kwetu TZ. Tayari kuna Member amesha clear doubt zangu. Una la ziada kuongeza ktk hili?
.
 
Back
Top Bottom