mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,676
- 3,805
"Aende lakini atakuja kukumbuka Azam wamemfanyia mambo mangapi katika maisha yake!"
Boko ni sawa na Santiago Bernabeu wa Real Madrid, alitakiwa amalizie mpira wake palepale kwenye kwenye askirimu. Labda angeenda nje sawa.
Maana kutoka na timu mchangani hadi kutwaa makombe makubwa ya nchi na Afrika Mashariki sio mas hara! Kama walishindwana sawa, wangeachana vizuri, sio hivi.
Na kwa maneno ya msemaji yanaashiria kuwa walikuwa wana mpango wa kuendelea, ila walitaka kumgeuza Boko Chifu Mangungo, ndio imekuwa shida.
Na inathibitishwa na kauli yake kuwa "tutamtaarifu mwalimu kuwa Boko hatutakuwa nae!" Kwahiyo uondokaji wake hata kocha haujui. Talaka hii hawakuitarajia ndio maana inawauma.
Ila hii timu, ijiangalie figisu zimekua nyingi sana kwenye uendeshaji wake siku hizi, na hivi wameshaingia wazee wa 10% isije ikaifuata "Chelsea ya Bongo"
Wakatabahu!