Rais wa Fifa atuma Salamu za pongezi kwa Yanga fc kuwa mabingwa

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Rais wa Fifa naipongeza Yanga fc kwa kuwa mabingwa

18664207_1871341919800672_2006510517134048224_n.jpg
 
Yanga General Secretary will receive a copy of FIFA President's letter from TFF anytime from now.Its up to them to disclose it or not to. twitter.com/patkoko/status…
View details ·
Jamal Malinzi
@jamalmalinzi 2h
@FIFAcom President Gianni Infantino has today congratulated Yanga for winning the Vodacom Premier League Title for 3rd consecutive season.
View details ·
Jamal Malinzi
@jamalmalinzi 2h
Rais wa FIFA Bw Gianni Infantino leo ametuma salam za pongezi kwa klabu ya Yanga kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu.Ameitakia kheri Yanga.
View details ·
Jamal Malinzi retweeted
 
viongozi wenu wanajua wanachofanya kama walishindwa kulipa laki tatu pale tifuatifua watalipa milioni thelathini kweli kule FIFA walichobaki nacho ni maneno tu kwenye mitandao ili muweze kuamini kuwa walikata rufaa kuwapoza jazba mulizonazo.
 
Mbn rufaa za hapa bongo mlimlaum malinzi kwa hamjui mfumo wa TFF?
Yeye malinzi si aliwaambia akibali team ya nyumbani eti ipokwe point na yeye pia mwenyekiti wa soka kagera Sisi Simba sc tunatulia atutishiki na post ya uongo hiyo ya malinzi mwanachama hai wa yanga
 
Yeye malinzi si aliwaambia akibali team ya nyumbani eti ipokwe point na yeye pia mwenyekiti wa soka kagera Sisi Simba sc tunatulia atutishiki na post ya uongo hiyo ya malinzi mwanachama hai wa yanga
simba bwana kelele nyiiiiiiiingiiiiiiii ,ndiyo maana rage aliwaita mbumbumbu
 
Kwa hiyo mpaka sasa rais wa FIFA anajua bingwa wa Tanzania ni Yanga....?

Naomba kujua aliepeka barua yetu FIFA nahisi barua yetu haijafika
 
Muulizeni kuhusu rufaa basi, Tunataka......kombe letu.......
 
Itabidi Mezani fc waende UN kudai ubingwa maana fifa ndiyo wameshawatosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom